Jamani wana Arsenal leo tunakipiga na FC TWENTE katika UEFA CHAMPIONS LEAGUE QUALIFIERS tunaomba watakaoiangalia mechi hyo wawe wanatujuza matokeo kadiri muda unavyoenda
wakuu kwa kiwango kile tulicho kionyesha kwenye game ya ufunguzi wa premier league je kinaridhisha?
Mkuu GT AW kamchukua SYLIVESTRE toka MAN U!!,,inakuwaje hii??,ni kwamba ana lengo la kuimarisha safu ya ulinzi ama ni kuifamya ARSENAL iwe FRENCH national Team,,sijamuelewa vizuri kwa hili....Pia alisema atasaini Midfielder kabla ya mechi ya marudiano na FC TWENTE,,,,Je ndo huyu(SYLEVESTRE) anaandaliwa kuwa middle,,kama ni hivo tumeula wa chuya,,inanikumbusha msimu wa 2000/2001 enzi za GILLES GRIMANDI hasa siku tulipopigwa bao 6-1 na MANURE..Huyu naye(GRIMANDI) alichukuliwa na AW for nothing zaidi ya kuwa kimeo...haya na tusubiri vituko vya SYLIVESTRE vya kujipiga kanzu na kujifunga magoli...tunalo!
Wenger bahili......longo longo kama Pinda
Before this season kick off, I predicted we were going to finish third again but I think that is too ambitious now, I dont think it will happen. Against WBA, I expected a big win, at least 3 goals! Today's game is one of the games I ticked as 3 away points, and when was last time Fulham won against us?- 1966! We were very very poor today, I can clearly see what will happen when we play against the other big boy.
jama kwa hali ya mechi ile dhidi ya fulham mi nimekata tamaa kabisaa ya ubingwa....narudia tena bora wenger atimuliwe anatuyeyusha na falsafa zake za kibwege