Mkuu GT AW kamchukua SYLIVESTRE toka MAN U!!,,inakuwaje hii??,ni kwamba ana lengo la kuimarisha safu ya ulinzi ama ni kuifamya ARSENAL iwe FRENCH national Team,,sijamuelewa vizuri kwa hili....Pia alisema atasaini Midfielder kabla ya mechi ya marudiano na FC TWENTE,,,,Je ndo huyu(SYLEVESTRE) anaandaliwa kuwa middle,,kama ni hivo tumeula wa chuya,,inanikumbusha msimu wa 2000/2001 enzi za GILLES GRIMANDI hasa siku tulipopigwa bao 6-1 na MANURE..Huyu naye(GRIMANDI) alichukuliwa na AW for nothing zaidi ya kuwa kimeo...haya na tusubiri vituko vya SYLIVESTRE vya kujipiga kanzu na kujifunga magoli...tunalo!