Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jamani wana Arsenal leo tunakipiga na FC TWENTE katika UEFA CHAMPIONS LEAGUE QUALIFIERS tunaomba watakaoiangalia mechi hyo wawe wanatujuza matokeo kadiri muda unavyoenda

...worry not, tupo pamoja, na ushindi ni lazima
 
...Arsenal wanaongoza kwa 63rd minute Goal, mfungaji William Gallas.
 
...83rd Minute, Arsenal wanaongeza goli la pili, Emanuel Adebayor ndio mfungaji...
 
...mpira umekwisha, Arsenal wameibuka na ushindi wa mabao 2-0, marudiano baada ya wiki mbili Emirates stadium.
 
wakuu kwa kiwango kile tulicho kionyesha kwenye game ya ufunguzi wa premier league je kinaridhisha?
 
wakuu kwa kiwango kile tulicho kionyesha kwenye game ya ufunguzi wa premier league je kinaridhisha?

Kiwango ni kizuri,vijana ni wazuri tutafanya vizuri tu mwaka huu.....SAMIR NASRI ni habari nyingine mkuu,mtoto anatisha...kwa mechi ya ufunguzi BENDTNER alikuwa butu sana alitakiwa awe substitute na ilitakiwa Van PERSIE aanze badala yake...pia pengo la FABREGAS lilionekana dhahiri....DENILSON alijitahidi sana(anaweza kuziba pengo la FLAMINI)....timu ni nzuri mkuu tunatisha mwaka huu
 
Mkuu GT AW kamchukua SYLIVESTRE toka MAN U!!,,inakuwaje hii??,ni kwamba ana lengo la kuimarisha safu ya ulinzi ama ni kuifamya ARSENAL iwe FRENCH national Team,,sijamuelewa vizuri kwa hili....Pia alisema atasaini Midfielder kabla ya mechi ya marudiano na FC TWENTE,,,,Je ndo huyu(SYLEVESTRE) anaandaliwa kuwa middle,,kama ni hivo tumeula wa chuya,,inanikumbusha msimu wa 2000/2001 enzi za GILLES GRIMANDI hasa siku tulipopigwa bao 6-1 na MANURE..Huyu naye(GRIMANDI) alichukuliwa na AW for nothing zaidi ya kuwa kimeo...haya na tusubiri vituko vya SYLIVESTRE vya kujipiga kanzu na kujifunga magoli...tunalo!
 
Ama AW anataka kumuandaa SILVESTRE kuwa msaidizi wa GRIMANDI katika mambo ya SCOUTING(GRIMANDI ndo Chief Scouting officer wa ARSENAL kwa Ufaransa) kwani jamaa(SILVESTRE) uzoefu wa miaka 9 katika EPL
 
arsenal team against Fulham: Almunia
Sagna Toure Gallas Clichy
Walcott Eboue Denilson Nasri
Van Persie
Adebayor

Bench: Fabianski, Djourou, Song, Ramsey, Gibbs, Wilshere, Bendtner

kamaunataka kuangalia hii mechi live online:

http://www.justin.tv/iraqgoals
 
it is now the beginning of the end,reign ya wenger is coming to an end. His midas touch has deserted him,if todays results are to be used as a yardstick
 
Before this season kick off, I predicted we were going to finish third again but I think that is too ambitious now, I dont think it will happen. Against WBA, I expected a big win, at least 3 goals! Today's game is one of the games I ticked as 3 away points, and when was last time Fulham won against us?- 1966! We were very very poor today, I can clearly see what will happen when we play against the other big boy.
 
Wenger bahili......longo longo kama Pinda
 
Kweli mkuu mechi ya fulham ni hasara ya point 3, Tatizo tuna pengo kubwa la viungo, Ubunifu kulikuwa hakuna kabisa!!! Kila tukienda mbele dogo Denilson anapoteza possesion! Tunahitaji viungo wetu wapone haraka sana ama sivyo tutakuwa matatizoni!! Kwa nini Wenger hajanunua replacement ya Flamini mpaka leo? tunawahitaji cesc, diaby na Rosicky warudi. Vilevile mbele akirudi Dudu mambo sio mabaya, mimi nataka kumuona huyu Bischoff ana kiwango gani kiasi cha AW kumnunua ingawa ni majeruhi? Tutapata picha nzuri baada ya mechi angalau 10, bado mapema!!
 
jama kwa hali ya mechi ile dhidi ya fulham mi nimekata tamaa kabisaa ya ubingwa....narudia tena bora wenger atimuliwe anatuyeyusha na falsafa zake za kibwege
 
jama kwa hali ya mechi ile dhidi ya fulham mi nimekata tamaa kabisaa ya ubingwa....narudia tena bora wenger atimuliwe anatuyeyusha na falsafa zake za kibwege

gang punguza hasira hata roma haikujengwa kwa siku moja
 
Dirisha la uhamisho linafungwa leo na bado hatuna habari ya wenger kununua kifaa chochote. Kwa kweli kazi ipo maana atawachosha hawa watoto na hawataweza kustahimili mikikimikiki ya mwaka mzima. Ila Eboue ameanza kuwa moto mbaya kwenye kiungo, anaweza kumwondoa kabisa Walcot.
 
Namuaminia Wenger kwa secret deals, I believe by the end of this transfer deadline kutakuwa na a shock signing ya Arsenal, si unakumbuka usajili wa Gallas? Reyes? deal zote hizo zilipigwa kimyakimya kwa kuwa mitimu yenye hela za mchezo ikiskia tu Prof. anamfutilia mchezaji flani inakwenda mbio na kupanda dau, naskia anamuulizia Kalou huku darajani, lets wait and see.
 
Back
Top Bottom