Gallas kasema kweli!!!
...sometimes it is better to call spade a spade, not spoon! lakini ndio hivyo tena, usimwage mtama kwenye kuku...
Current Arsenal squad aren't good or consistently enough to challenge top honours, kuanzia EPL, mpaka CL, BUT the gaffer thinks otherwise, and that's the fact!
AW yeye kang'ang'ana tu tangu msimu wa 2006-2007 tulipobahatika kufikia CL final ...eti the team is maturing, ...eti the youngsters will come better next season, 2007-2008 went by, sasa 2008-2009 ndio hiyooo...
...the fans stood with with the Gaffers's promises, but finally the truth is revealing itself π , chenga twawala lakini kufungwa twafungwa...

WENGER kazi imemshinda na ni bora kumuondoa haraka sana maana hana tena credibility hata kwa wachezaji wake. Sikubaliani na uamuzi wa kumuacha Gallas katika mechi dhidi ya Manchester City hasa ukitilia maanani kuna majeruhi chungu nzima na kumpokonya ucaptain kwa kusema kweli
...Gallas katolewa kafara, tatizo lipo wazi, tatizo ni Arsene "haambiliki" Wenger!...
Haya, leo hata Man City wametukung'uta 3-0Inauma lakini huu ndio mwisho wa the Gunners in TOP FOUR. The team plays fantastic football but will win nothing, kama walivyosema Freddie Ljungberg, Michael Essien, na Alexander Hleb... na sasa Gallas.
Mkuu inauma sana kwa maana kuna timu hata ikikukung'uta sio mbaya lakini kukung'utwa na Man city? na tena bahati yetu maana nafasi walopoteza Man city tungekung'utwa hata sita!!!! huyu Bendtner hafai kabisa kucheza Arsenal 'very useless paper giant!!!'
dah ama kweli huu ni mwaka wa shetani kwenu msipoangalia mtaanza kukimbizana na timu zigombaniazo kushuka daraja kule chini..da gap isnt dat kubwa!!!!
...huyu Bendtner hafai kabisa kucheza Arsenal 'very useless paper giant!!!'
AW anasema katika strikers wote wa Arsenal, Bendtner ndiye mkali wa magoli ya vichwa. Huenda tungekuwa na deadballs specialist, nyota yake ingeng'ara zaidi...
Je, hayo magoli ya vichwa kafunga mangapi? Sidhani hata matano kama yanafika. The next five games are very crucial. We have to win at least four of them, otherwise there is no need to keep Wenger around.
if m not mistaken katika hizo next 5 games mna chelsea na liverpool ndani yake...lohh sijuiiiiiiiiii ngoja tukae kimya sie na kushuhudia mechi hizo maana premier league ya mwaka huuu haitabiriki,any timu can aibisha watu wazima
Ni determination tu, kucheza kama timu na kupunguza 'chenga twawala' kama tumeshawapiga tundu MANU sidhani kama itakuwa ni ajabu kubwa kuwapiga tundu Chelsea na Liverpool. YES WE CAN π
Wenger anachotakiwa kufanya ni kukuza kikosi tuwe na first team yenye wachezaji 20 ambao tisa wanapigania number na sio chipukizi,chipukizi wacheze na wazoefu kidogo wacheze FA na premier rahisi rahisi na wale wadogo wacheze carling cup,we need to buy replacement ya fabregas,adebayor,kolo,sagna and we need defensive midfielder apo ndo arsenal itatulia...Wenger as Wenger hana tatizo,wachezaji hawana tatizo ila majeruhi ndo tatizo and therefore kikosi ni kidogo...Big up arsenal!!!
BAK keep on dreaming, kama mumefungwa na Man City kwanini msifungwe na Chelsea? is also another scenario vile vile
Ni determination tu, kucheza kama timu na kupunguza 'chenga twawala' kama tumeshawapiga tundu MANU sidhani kama itakuwa ni ajabu kubwa kuwapiga tundu Chelsea na Liverpool. YES WE CAN π