Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

"Good riddance" to Gallas, I believe this will be the last straw and we will offload him asap, we don't really need him, he's finished as a player, he is too slow and cost us many points on so many ocassion this season plus he is not a good leader! What sort of leader is he to cry infront of TV? or criticize young players, moan in public and reveal dressing room bust-up? We never saw Vieira, Adams, Terry, Neville and Gerard doing it.
Hope we can get our season back on track because under Mr Wenger there is always togetherness and team spirit but this season we have none of these due to Gallas influence.
 
Gallas kasema kweli!!!

...sometimes it is better to call spade a spade, not spoon! lakini ndio hivyo tena, usimwage mtama kwenye kuku...

Current Arsenal squad aren't good or consistently enough to challenge top honours, kuanzia EPL, mpaka CL, BUT the gaffer thinks otherwise, and that's the fact!

AW yeye kang'ang'ana tu tangu msimu wa 2006-2007 tulipobahatika kufikia CL final ...eti the team is maturing, ...eti the youngsters will come better next season, 2007-2008 went by, sasa 2008-2009 ndio hiyooo...

...the fans stood with with the Gaffers's promises, but finally the truth is revealing itself 🙁 , chenga twawala lakini kufungwa twafungwa...
 
As a team we are good enough (talentwise) The big problem is lack of depths which in turn affect team consistency, Hilo tatizo liko tangia last season na limezidi kwa kuondoka akina Hleb na Flamini, kati ya top big 4 sisi ndio tuna kikosi finyu, hili inafaa tumlaumu Le Gaffer, alishajua kwamba tumepoteza Hleb,Flamini,Gilberto na tuna majeruhi ya muda mrefu (Eduardo na Rosicky) Van Persie nusu mchezaji ( hajare-cover mojakwamoja) Kwa nini asiimarishe kikosi katika transfer window wakati Hela ilikuwepo? Amesema watoto alionao ni wazuri na wanatosha, mbona hajiamini kuwatumia?
Matatizo ya Wenger anajali ku-balance books kuliko trophies na hili wapenzi tumechoka nalo.
by the way mpaka dakika hii tumeshalala 2 - 0 dhidi ya Man city!!!! WENGER OUT!!!
 
Watani poleni sana hii ndiyo PL, Man City 3 : 0 Arsenal; Chelsea 0 : 0 Newcastle United na Liverpool 0 : 0 Fulham
 
Gallas kasema kweli!!!

...sometimes it is better to call spade a spade, not spoon! lakini ndio hivyo tena, usimwage mtama kwenye kuku...

Current Arsenal squad aren't good or consistently enough to challenge top honours, kuanzia EPL, mpaka CL, BUT the gaffer thinks otherwise, and that's the fact!

AW yeye kang'ang'ana tu tangu msimu wa 2006-2007 tulipobahatika kufikia CL final ...eti the team is maturing, ...eti the youngsters will come better next season, 2007-2008 went by, sasa 2008-2009 ndio hiyooo...

...the fans stood with with the Gaffers's promises, but finally the truth is revealing itself 🙁 , chenga twawala lakini kufungwa twafungwa...

WENGER kazi imemshinda na ni bora kumuondoa haraka sana maana hana tena credibility hata kwa wachezaji wake. Sikubaliani na uamuzi wa kumuacha Gallas katika mechi dhidi ya Manchester City hasa ukitilia maanani kuna majeruhi chungu nzima na kumpokonya ucaptain kwa kusema kweli
 
...Gallas katolewa kafara, tatizo lipo wazi, tatizo ni Arsene "haambiliki" Wenger!...

Haya, leo hata Man City wametukung'uta 3-0

Inauma lakini huu ndio mwisho wa the Gunners in TOP FOUR. The team plays fantastic football but will win nothing, kama walivyosema Freddie Ljungberg, Michael Essien, na Alexander Hleb... na sasa Gallas.

Arsenal football club is officially in CRISIS, for the first time since 1997 we are in serious trouble of missing CL altogether, to put it right even uefa cup qualification seems a mammoth task, it is a painful time for us gunners fans as we suffer on two fronts 'credit crunch plus shity team'
 
...Gallas katolewa kafara, tatizo lipo wazi, tatizo ni Arsene "haambiliki" Wenger!...

Haya, leo hata Man City wametukung'uta 3-0Inauma lakini huu ndio mwisho wa the Gunners in TOP FOUR. The team plays fantastic football but will win nothing, kama walivyosema Freddie Ljungberg, Michael Essien, na Alexander Hleb... na sasa Gallas.

Mkuu inauma sana kwa maana kuna timu hata ikikukung'uta sio mbaya lakini kukung'utwa na Man city? na tena bahati yetu maana nafasi walopoteza Man city tungekung'utwa hata sita!!!! huyu Bendtner hafai kabisa kucheza Arsenal 'very useless paper giant!!!'
 
dah ama kweli huu ni mwaka wa shetani kwenu msipoangalia mtaanza kukimbizana na timu zigombaniazo kushuka daraja kule chini..da gap isnt dat kubwa!!!!
 
Nakubaliana kabisa na kauli yako na huyo Bendtner alibahatisha kufunga magoli machache basi Wenger akamuona mchezaji wa maana lakini hastahili kabisa kuwa katika 1st eleven
 
dah ama kweli huu ni mwaka wa shetani kwenu msipoangalia mtaanza kukimbizana na timu zigombaniazo kushuka daraja kule chini..da gap isnt dat kubwa!!!!

...we acha tu Mtaalam, atleast our only consolation ni pale tunapoweza wawekea kifua vigogo kama nyie, mashetani wekundu. Utashangaa Perfomance yetu next week na Chelsea.
 
...huyu Bendtner hafai kabisa kucheza Arsenal 'very useless paper giant!!!'

AW anasema katika strikers wote wa Arsenal, Bendtner ndiye mkali wa magoli ya vichwa. Huenda tungekuwa na deadballs specialist, nyota yake ingeng'ara zaidi...
 
Je, hayo magoli ya vichwa kafunga mangapi? Sidhani hata matano kama yanafika. The next five games are very crucial. We have to win at least four of them, otherwise there is no need to keep Wenger around.
 
if m not mistaken katika hizo next 5 games mna chelsea na liverpool ndani yake...lohh sijuiiiiiiiiii ngoja tukae kimya sie na kushuhudia mechi hizo maana premier league ya mwaka huuu haitabiriki,any timu can aibisha watu wazima
 
Ni determination tu, kucheza kama timu na kupunguza 'chenga twawala' kama tumeshawapiga tundu MANU sidhani kama itakuwa ni ajabu kubwa kuwapiga tundu Chelsea na Liverpool. YES WE CAN 🙂
 
BAK keep on dreaming, kama mumefungwa na Man City kwanini msifungwe na Chelsea? is also another scenario vile vile
 
Naam katika 90 minutes anything is possible it can be in our favour or vice versa 🙂
 
Wenger anachotakiwa kufanya ni kukuza kikosi tuwe na first team yenye wachezaji 20 ambao tisa wanapigania number na sio chipukizi,chipukizi wacheze na wazoefu kidogo wacheze FA na premier rahisi rahisi na wale wadogo wacheze carling cup,we need to buy replacement ya fabregas,adebayor,kolo,sagna and we need defensive midfielder apo ndo arsenal itatulia...Wenger as Wenger hana tatizo,wachezaji hawana tatizo ila majeruhi ndo tatizo and therefore kikosi ni kidogo...Big up arsenal!!!
 
...mwambie hayo AW, atakwambia we dont need to buy players, we currently have potentials here, the players are maturing,...when the injured will come back things will be different! Haambiliki, ndio maana zile £70m hakuzitumia kwa usajili kwa kujifanya mjuaji sana wa ku balance vitabu.

BAK keep on dreaming, kama mumefungwa na Man City kwanini msifungwe na Chelsea? is also another scenario vile vile

...Priority mwaka huu apart na CL (the only piece of silverware so elusive kwa AW), ni kuzifunga MAN U, CHELSEA, na LIVERPOOL.

Ni determination tu, kucheza kama timu na kupunguza 'chenga twawala' kama tumeshawapiga tundu MANU sidhani kama itakuwa ni ajabu kubwa kuwapiga tundu Chelsea na Liverpool. YES WE CAN 🙂

...well said BAK, tatizo AW na Arsenal hapajakamilika dkk 90 bila 'mesmerizing and mind blowing flow of football passing', hata tukifungwa chenga twawala, ndio the Gunners MOTTO under AW.
 
Msije kushangaa mtakaposikia SILVESTRE ndio captain mpya
 
Back
Top Bottom