Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Msije kushangaa mtakaposikia SILVESTRE ndio captain mpya

Captain mpya ni Fabregas, ila sijui ni kwa kigezo gani, maana hasi ni nyingi kuliko chanya za uteuzi huo, labda kwakuwa ana Euro '08 cup medal na Spain, ...labda asiwe 'poached' na Barca mwakani, ...labda,...labda... ahh!
 
Nafikiri Wenger anataka jamaa asikimbilie BARCA
 
Nafikiri Wenger anataka jamaa asikimbilie BARCA

Noo Hapana Mkuu, Wenger anajua kwamba Cesc yuko Transit, na hana vya kufanya ili amzuie asiondoke, sababu kuu ya kumchagua ni kwamba mara hii Master Wenger (Arseneknows) a.k.a haambiliki kwa mara ya kwanza ameheshimu maoni ya wachezaji na wapenzi, (dalili za mfa-maji) Kabla ya season kuanza wachezaji wengi walimpendekeza Gilberto awe team captain kwa vile anafahamiana na wachezaji vizuri na ni member wa "The Invincible" -the best and most successful Arsenal squad ever!! Lakini Wenger as Wenger kwa ukaidi wake akamchagua Gallas! sijui kwa nini lakini wapenzi wengi tulimjua kuwa Gallas ni mkorofi na ana tabia ya ukaidi na maugomvi-ugomvi, huyu hata Maurinho na kujua kwake kote alipiga chini.
Ni wachezaji wa Arsenal waliokwenda kulalamika kuhusu Gallas na ni wachezaji waliompendekeza Cesc kwa vile amerithi na kusoma mengi toka kwa 'The Invincible' ingawa ni dogo lakini ana command respect na anapatana na wachezaji wengi, vilevile maoni ya wapenzi na muelekeo wa timu vimefanya Mzee Wenger to sit down and listen, at least for once in life!!
 
Ferguson anakwambia ukifungwa mechi 6 sahau kuchukua ubingwa....Arsenal ameshafungwa 5 so far!!
 
Arsenal kama Sima Sc.

Na yawezekana pia wapenzi wengi wa Arsenal ni wapenzi wa Simba pia, kama mimi hapa.
Kuhusu Ubingwa wa premier league, kwa mwaka huu ushaota mbawa, kama vile ulivyokwishaota mbawa kwa Simba pia.
Ofcourse, Arsenal wana mchezo mzuri wa kuvutia lakini chipukizi wanahitaji na wakongwe ili kutumbukiza mipira wavuni..
 
Na yawezekana pia wapenzi wengi wa Arsenal ni wapenzi wa Simba pia, kama mimi hapa.
Kuhusu Ubingwa wa premier league, kwa mwaka huu ushaota mbawa, kama vile ulivyokwishaota mbawa kwa Simba pia.
Ofcourse, Arsenal wana mchezo mzuri wa kuvutia lakini chipukizi wanahitaji na wakongwe ili kutumbukiza mipira wavuni..

Kabla ya kuandika fikiri kidogo....Arsenal = Simba? wapi na wapi dogo?
 
Naam katika 90 minutes anything is possible it can be in our favour or vice versa 🙂

Arsenal can always do it against the giants Man U, Chelsea and Liverpool.
But there needs to be changes in the team that will inspire our win against these giants and sardines
 
Arsenal kama Sima Sc.

Mkuu hapa unafananisha ile 'mipasho' ya Kaduguda v/s Dalali na ile ya Gallas (ex-caption) v/s fellow teammates au unaangalia position kwenye standing ya ligi?
Anyway guys, nawatakia mema this weekend...kwa sasa Bluz/Liva ndio washindani wetu wakubwa!
 
Arsenal tupoooooooooooooooo............chelsea wanakula bao tu.......
 
Arsenal wametupiga bao kwa kweli.....hii inanipa wasi wasi na uwezo wa Scolari na big teams...
 
Back in the race, back in the Top 4 Huge result for Arsenal chelsea 1 2 Arsenal
 
...we acha tu Mtaalam, atleast our only consolation ni pale tunapoweza wawekea kifua vigogo kama nyie, mashetani wekundu. Utashangaa Perfomance yetu next week na Chelsea.

...mtaalam nadhani umeamini maneno yangu. Priority imekuwa tofauti mwaka huu, next..., 'bwawa la maini' mjiandae kichapo!...
 
...mtaalam nadhani umeamini maneno yangu. Priority imekuwa tofauti mwaka huu, next..., 'bwawa la maini' mjiandae kichapo!...

Hata KOP nao wanasema bado Gunnerz
Ngoja tusubiri
 
Back
Top Bottom