Msije kushangaa mtakaposikia SILVESTRE ndio captain mpya
Nafikiri Wenger anataka jamaa asikimbilie BARCA
Arsenal kama Sima Sc.
Na yawezekana pia wapenzi wengi wa Arsenal ni wapenzi wa Simba pia, kama mimi hapa.
Kuhusu Ubingwa wa premier league, kwa mwaka huu ushaota mbawa, kama vile ulivyokwishaota mbawa kwa Simba pia.
Ofcourse, Arsenal wana mchezo mzuri wa kuvutia lakini chipukizi wanahitaji na wakongwe ili kutumbukiza mipira wavuni..
Naam katika 90 minutes anything is possible it can be in our favour or vice versa 🙂
Arsenal kama Sima Sc.
Heheheeeeee
Arsenal tupoooooooooooooooo............chelsea wanakula bao tu.......
...we acha tu Mtaalam, atleast our only consolation ni pale tunapoweza wawekea kifua vigogo kama nyie, mashetani wekundu. Utashangaa Perfomance yetu next week na Chelsea.
...mtaalam nadhani umeamini maneno yangu. Priority imekuwa tofauti mwaka huu, next..., 'bwawa la maini' mjiandae kichapo!...