Nina wasi wasi AW anaweza kuondolewa msimu ujao, labda anaweza kujitetea kwamba majeruhi nao walikuwa wengi kiasi cha kuharibu pattern ya uchezaji ili kupata ushindi. Kuna kila dalili kibarua chake kitaota majani.
...nusura yake inatokana na Board ya Arsenal ina kina Fizsmann, Kroenke, Usmanov, etc etc etc... sio sawa na Chelsea ambayo Abramovich akiamua linakuwa, ...the Gaffer is still safe, labda fans waanze kum
"boo-boo" huenda akaamua kung'atuka!
...mpaka sasa maneno ya ex-Captain, William Gallas yametimia, ... the team isnt capable to win trophies!!! mafanikio ya Club kama Man United ni kutokana na kuwa na 'Leaders' mfano Gary Neville, Rio Ferdinand, Ryan Giggs, Namaja Vidic etc ...ambao ndani na nje ya uwanja wanaonyesha 100% commitment.
Arsenal hilo hakuna, mtu kama W'Gallas alipoamua kusimama na kusema ukweli matokeo yake ndio kama hayo yalomopata, we will win nothing mpaka AW abadili mentality ya kuleana kwa kisingizio cha "this team is maturing!" ...maturity inakuja na Responsibilities, so far hakuna katika Arsenal anayetaka/kuonekana yupo tayari kuongoza, hata Kolo Toure aliyekuwa na sauti misimu michache iliyopita, sasa ameufyata mkia...
Kumbe mnacheza na Fulham hawa jamaa waliwapa kipigo game ya kwanza so watch out
Kweli zile mechi zako 8 hadi sasa
Aston Villa kacheza game 3 na kapata point 4
Arsenal kacheza game 3 na kapata point 3
Tuendelee kusubiri naona mna game na Man City,Blackburn,WestBrom,Fulham na Newcastle
...uwezo wa team ya Arsenal sasa ni kushiriki UEFA tu, 4th spot ya kubahatisha kama msimu ule tulivyowapiku Spurs game ya mwisho HAKUNA! Martin O'neill is better than that!