Vipi wameshinda?
wametoa draw na sunderland
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi wameshinda?
wametoa draw na sunderland
Nina wasi wasi AW anaweza kuondolewa msimu ujao, labda anaweza kujitetea kwamba majeruhi nao walikuwa wengi kiasi cha kuharibu pattern ya uchezaji ili kupata ushindi. Kuna kila dalili kibarua chake kitaota majani.
Kumbe mnacheza na Fulham hawa jamaa waliwapa kipigo game ya kwanza so watch out
Kweli zile mechi zako 8 hadi sasa
Aston Villa kacheza game 3 na kapata point 4
Arsenal kacheza game 3 na kapata point 3
Tuendelee kusubiri naona mna game na Man City,Blackburn,WestBrom,Fulham na Newcastle
...uwezo wa team ya Arsenal sasa ni kushiriki UEFA tu, 4th spot ya kubahatisha kama msimu ule tulivyowapiku Spurs game ya mwisho HAKUNA! Martin O'neill is better than that!
Jana angalau tumemchapa Roma kagoli kamoja...Lol...[/QUOTE
HONGERENI VIJANA, ILA HUKO ROME MKAE SAWA MAANA LILE BALL LA JANA DUH....!!!!
Hongereni, ila my concern nyie watu mnakosa magoli jamani!!, duh!, kuna mengine hata Mwaikimba wa Yanga anaweza kuwa anafunga!..mkitolewa kwa diff. ya magoli mna haki.
Kama kawaida yetu wazee wa SARE...Leo tena tumetoka sare na Fulham...Kweli huu ni mwaka wa shetani...Mwaka huu hata UEFA ndogo tunaikosa...Lol...Inatia uchungu kweli...Noma kweli
Yaani wala nakosa neno la kuongea nasononeka tu!
Mwaka wetu mbaya huu!!!