Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.


Semi-Final Unapambana na Chelsea. Sasa hapo ndio Full Stop Mwisho wa safari yako- Pole sana Arsenal.View attachment 3803
View attachment 3804
View attachment 3805
...Leo kwenye FA cup tumeshinda kwa magoli matatu tu, Vela, Eduardo, na Eboue wakiwa wafungaji...
KKN, BaK, mpo ?
Arsenal sasa wanaongeza ile momemtum yao. Jinsi walivyocheza leo ni dalili kwamba kuna mambo mazuri yanakuja. Leo Nasri, Diaby, Van Persie na Denilson walikuwa benchi kwa ajili ya kujiandaa na game na Roma.
Kwa hio Song Bilong na Arshavin wakaziba pengo hilo na ku-supply mipira kwa Carlos Vela na Erduado huku wakisaidiwa na Ebue.
What a Classy act kwa Arsenal na hii ndio Arsenal back at their best.
Let us wait and see.
hehehehehe nlitaka waambia nyie ni nguvu ya soda ila nimegundua hata soda ina unafuu...mmeshinda hivyo ila soon mtarudi kwenye tradition yenu ya kutoa draw tu....anyways twawaombea angalau mmalize hiyo nafasi ya nne as kwenu ndo achievement ya msimu huwa mwa target
Semi-Final Unapambana na Chelsea. Sasa hapo ndio Full Stop Mwisho wa safari yako- Pole sana Arsenal.
Roma wanapata goli dakika ya 9. Roma 1 Arsenal 0
...BaK, ulitususia jamvi? siku nyingi bro!...haya, tupo pamoja, mpaka sasa mtanange draw,... aggregate Arsenal 1 - 1 Roma, ...Eduardo, Walcott wapo Benchi, ...matumaini bado yapo...
The Gunners leo shughuli ipo,mbona AS Roma wamebana hivi!..Full time mpira inabidi waende extra time..
Mbu!
Kwa game hii chochote kinawezekana,I hope Arsenal washinde ila hao Roma mmh!