Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

gun__1236349352_fabregas_training09.jpg

gun__1236349256_fabregas_training01.jpg

gun__1236349319_fabregas_training06.jpg

...looking gud buddies, Cesc "Fabulous" Fabregas, Adebayor na Tomasz Rosicky, watakuwa tayari within next 3'weeks, ...Theo Walcott, Eduardo "Dudu" Silva watakuwa kwenye kikosi kitachopambana na Burnley kwenye FA Cup jumapili...!
 
Arsenal sasa wanaongeza ile momemtum yao. Jinsi walivyocheza leo ni dalili kwamba kuna mambo mazuri yanakuja. Leo Nasri, Diaby, Van Persie na Denilson walikuwa benchi kwa ajili ya kujiandaa na game na Roma.

Kwa hio Song Bilong na Arshavin wakaziba pengo hilo na ku-supply mipira kwa Carlos Vela na Erduado huku wakisaidiwa na Ebue.

What a Classy act kwa Arsenal na hii ndio Arsenal back at their best.

Let us wait and see.
 
hehehehehe nlitaka waambia nyie ni nguvu ya soda ila nimegundua hata soda ina unafuu...mmeshinda hivyo ila soon mtarudi kwenye tradition yenu ya kutoa draw tu....anyways twawaombea angalau mmalize hiyo nafasi ya nne as kwenu ndo achievement ya msimu huwa mwa target
 
...wishful thinking, you wish... kama ni nguvu ya soda/dafu matokeo hayaongopi, bad patch ishapita, sijui itakuwaje nyie mashetani wekundu ikiwaanzia dkk hizi za lala salama...

Semi-Final Unapambana na Chelsea. Sasa hapo ndio Full Stop Mwisho wa safari yako- Pole sana Arsenal.

...oohhh yesss, cant wait for Chelski game, tutawafunga bila wasi wasi wowote! you wanna bet? 3-1 to Arsenal!!!
 
Haya mechi za UEFA kati ya MANU na Inter MILAN na Arsenal na Roma ndiyo zinaanza nataka kuangalia zaidi timu yangu Arsenal lakini mechi ya MANU nayo inaonekana itakuwa na ushindani wa hali ya juu
 
dak ya 4 Vidic keshaua.....aseno 0-0....angalieni mechi ya inter na Man u hio ya aseno haian ushindani aseno keshashinda
 
Vidic ameziona nyavu dakika ya nne kwa goli la kichwa kutokana na kona. MANU 1 MILAN 0
 
Roma wanapata goli dakika ya 9. Roma 1 Arsenal 0
 
Roma wanapata goli dakika ya 9. Roma 1 Arsenal 0

...BaK, ulitususia jamvi? siku nyingi bro!...haya, tupo pamoja, mpaka sasa mtanange draw,... aggregate Arsenal 1 - 1 Roma, ...Eduardo, Walcott wapo Benchi, ...matumaini bado yapo...
 
...BaK, ulitususia jamvi? siku nyingi bro!...haya, tupo pamoja, mpaka sasa mtanange draw,... aggregate Arsenal 1 - 1 Roma, ...Eduardo, Walcott wapo Benchi, ...matumaini bado yapo...

Sikususia ndugu yangu bali majukumu wakati mwingine yanakuwa mengi na hivyo kushindwa kuhudhuria. Dakika ya 86 GUNNERS 0 ROMA 1, MANU 2 MILAN 0
 
75th min, Eboue alitoka, Walcott akachukua nafasi yake...

85th min, Bendtner katoka, Eduardo kachukua nafasi yake...

fingers crossed!
 
The Gunners leo shughuli ipo,mbona AS Roma wamebana hivi!..Full time mpira inabidi waende extra time..
 
Mbu!
Kwa game hii chochote kinawezekana,I hope Arsenal washinde ila hao Roma mmh!
 
MANU wameshinda 2-0, lakini sisi tunaongezewa dakika 30 kama hakuna mshindi basi ni miguu 12 ya mtu mzima mwenye akili timamu. 🙁
 
Mbu!
Kwa game hii chochote kinawezekana,I hope Arsenal washinde ila hao Roma mmh!

...extra time...! ....Arsenal walilikoroga wenyewe 1st match pale London...!
'fingers crossed'...
 
Mbu!
Itawauma sana wakishindwa Arsenal maana Man Uts,Chelsea na Liverpool wote wameshinda..
Fingers crossed too here..Tusikilizie
 
Back
Top Bottom