Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

....mnh, it wasnt pretty!!!!!!!!!!!!!

ushindi wa matuta, presha juu juu!...

dah, wazee mliotuombea dua tunashukuru dua zenu, esp mtani wa jadi, NZIKU, na Belinda Jacob, ....

Saikosisi nusura 'uchuro' ulotuwekea ugeuke kweli, mnh!!!

BaK!....Shukran kwa kurudi tena jamvini!

pheeeeeeeeeeeeeeeeeeeewwww....

tumeponea kwenye tundu ya sindano wallahi!

....

Hongera sana kwa wale vijana walipigana kufa na kupona kwa kweli! Uzalendo ulinishinda kakimbilia kulala......moyo kidogo unitoke ....mmmmh!

Robo final sijui itakuwa Barca au Man or Liver or Munic? tupewe Man hope mambo yatakuwa fresh!
 
Hongereni Gunners ila mbona hao VIBONDE wamewasumbua sana

Ndugu yangu hata tembo huwa ana kazi kubwa sana kupambana na SIAFU sio simba, chui etc hali kadhalika hivi vitimu vidogo vyenyewe hutafuta sehemu ya kufia tu! You will c tukikutana na man U Bro!
 
Wewe msiombe kukutana na Man U kabisa wakati huu
 
Hongereni Gunners ila mbona hao VIBONDE wamewasumbua sana

Belo labda uwe unasema ushabiki tu- lakini kama nikiulizwa top 4 za serie A miaka nenda rudi nitaitaja Roma pamoja na Milan, Inter na Juve, hao wengine huwa wanaotea season moja moja kugatecrash tu hapo juu. Ligi haijaisha na currently wapo nafasi ya sita( mind you, sisi tupo nafasi ya tano na sio ya kwanza!). usisahau pia kwamba Chelsea na mahela yao walipoenda stadio olimpico kwenye groups stage walitandikwa 3-1, sidhani kama ni sahihi kuwaita vibonde.
 
Wewe msiombe kukutana na Man U kabisa wakati huu

Kwani matokeo ya tarehe 8 November 2008(wakati Arsenal inaandamwa na majeruhi yalikuwaje??),kumbuka kwamba sasa hivi Dudu,Walcott,Rosiscky ndani ya nyumba(bahati yenu Arshavin hachezi UEFA ila kwnye EPL atakuwepo),Pia Fabregas na Adebayor watakuwepo,mbona rahaaaaa...So usitegemee mteremko kwa kikosi hiki mkuu
 
Kwani matokeo ya tarehe 8 November 2008(wakati Arsenal inaandamwa na majeruhi yalikuwaje??),kumbuka kwamba sasa hivi Dudu,Walcott,Rosiscky ndani ya nyumba(bahati yenu Arshavin hachezi UEFA ila kwnye EPL atakuwepo),Pia Fabregas na Adebayor watakuwepo,mbona rahaaaaa...So usitegemee mteremko kwa kikosi hiki mkuu

Mkuu Balantanda.....mi nakwambia itakuwa vizuri sana tena tukipangwa na hawa Man U....Coz wao watakuwa wakitarajia mteremko wakati sisi tukiwa na bunduki kamili ulizozitaja....mbona raha wajemeni!
 
Naona mpira umekwisha na Arsenal Kampiga Blackburn Bao 4-0. Patamu hapo.
 
The Arsenal is about to be back in style!! What a win!! Sijui kwa nini hakumwachia Arshavin apige penati kumalizia hat-trick!!!!
 
Liverpool 4 Man U 1, ni wakati gani huu??

Nadhani hakuna yeyote katika wapenzi wa soka hapa au duniani kote ambaye angekubali utabiri wa kwamba L'pool wangewachapa MANU 4-1, wengi tungesema wanaweza kushinda lakini siyo kwa mabao mengi kiasi hicho. L'pool ni wazuri sana maana kuweza kuzifunga timu mbili bora za Ulaya MANU na RM mabao 8-1 katika muda wa siku chache ni achievement ya hali ya juu. Kama wasingekuwa na vigugumizi vya miguu wanapocheza na vitimu vidogovidogo kama Middlesborough basi wangekuwa wameshika usukani wa EPL.
 
duh..naona heshima PL inaanza kurudi sasa....

...Naam naam Kaizer, nami sikutaka kushangilia mpaka baada ya kupata matokeo ya leo Aston Villa ilipolala kwa Spurs, 😀😀😀 kidogo kidooooooooogo tunapanda!

A tale of two wingers saw Aaron Lennon inspire Tottenham to a 2-1 victory that does Arsenal plenty of favours on Sunday.

After The Gunners snatched fourth place from Aston Villa for the first time this year on Saturday, Martin O'Neill's men knew they needed a result to keep their noses ahead in the Champions League chase.
 
...Naam naam Kaizer, nami sikutaka kushangilia mpaka baada ya kupata matokeo ya leo Aston Villa ilipolala kwa Spurs, 😀😀😀 kidogo kidooooooooogo tunapanda!

Mbu unakumbuka hii?

Belo said:
Kila msimu hadithi ile ile najua mtapata nafasi ya 4 na mtamuona tena Wenger ni shujaa kwa kupata nafasi ya 4 next season yaleyale
Solution ya matatizo yenu ni kumtimua WENGER msipoangalia next season MAN CITY na SPURS watakuwa na timu nzuri mkiendelea na huyo Wenger mtegemee nafasi ya 5 au 6

Mr. Bean anawayeyusha tu, hamna kitu..
 
Villa have now gone 7 games without a win and they have a trip to Anfield for their next game! We can get the results against the Magpies on saturday if we perform as we have been in our last three games.
 
Ac Milan walimchukua Sendorous n sasa waamtaka Clichy for 14m je watampata na je Wenger atamruhusu aondoke?
 
Ac Milan walimchukua Sendorous n sasa waamtaka Clichy for 14m je watampata na je Wenger atamruhusu aondoke?

Arsenal kuna ukame wa pesa hivi sasa kutokana na mkopo wa ujenzi wa The Emirates. Kwa hiyo bei huyo bwana mdogo atauzwa tu labda akatae mwenyewe.
 
Back
Top Bottom