Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

...
Fingers crossed too here..Tusikilizie
all fingers crossed!.jpg

...that's it, All fingers crossed!
 
Mkiomba MUNGU nao wakafanya hivyo mtatoa droo mpaka penati!
Gunners hapo ndio mwisho wao. Poleni in advance.

...te -he -he ! ...naona kuna goli linanukia kabla ya kipenga cha mwisho
 
Fcros.jpg

Ni maguu 12 sasa na lolote linaweza kutokea.
 
Matuta goodluck watani,

italy wanaomba sana kwani wanajisikia vibaya timu zao zote kutolewa kwa mkupuo tena na timu za uingereza.
 
...mmnnnh,

haaaaya,....

natoka kidogo wakuu,

baadae..!
 
Hongereni wana-arsenal..Wamejitahidi sana,kipa alinivunja moyo ila sikutegemea kama angeokoa penalt ya mwisho..

BAK,Mbu naona Maombi yamejibiwa🙂
 
Hongera watani

ARSENAL BEAT ROMA 7-6 ON PENALTIES

PENALTY SHOOTOUT
TONETTO MISSES Roma 6-7 Arsenal
DIABY SCORES Roma 6-7 Arsenal
RIISE SCORES Roma 6-6 Arsenal
SAGNA SCORES Roma 5-6 Arsenal
AQUILANI SCORES Roma 5-5 Arsenal
TOURE SCORES Roma 4-5 Arsenal
TOTTI SCORES Roma 4-4 Arsenal
DENLISON SCORES Roma 3-4 Arsenal
MONTELLA SCORES Roma 3-3 Arsenal
NASRI SCORES Roma 2-3 Arsenal
BAPTISTA SCORES Roma 2-2 Arsenal
WALCOTT SCORES Roma 1-2 Arsenal
VUCINIC SAVED Roma 1-1 Arsenal
VAN PERSIE SCORES Roma 1-1 Arsenal
PIZARRO SCORES Roma 1-0 Arsenal
EDUARDO SAVED Roma 0-0 Arsenal
 
....mnh, it wasnt pretty!!!!!!!!!!!!!

ushindi wa matuta, presha juu juu!...

dah, wazee mliotuombea dua tunashukuru dua zenu, esp mtani wa jadi, NZIKU, na Belinda Jacob, ....

Saikosisi nusura 'uchuro' ulotuwekea ugeuke kweli, mnh!!!

BaK!....Shukran kwa kurudi tena jamvini!

pheeeeeeeeeeeeeeeeeeeewwww....

tumeponea kwenye tundu ya sindano wallahi!

....
 
..Fabregas atakuwa amerudi kabla ya robo fainali? We miss his creativity at the centre of the park for sure!
 
Mbu!
We acha tu mambo ya penalt ni presha maana mtoano! It wasnt easy ila the gunners wamefight to the very end.
Congrats!
 
Mbu!
We acha tu mambo ya penalt ni presha maana mtoano! It wasnt easy ila the gunners wamefight to the very end.
Congrats!

...mnh, we acha tu, nilipatwa na homa ya ghafla, ...roho inaweza kuacha mwili kiutani utani tu!

..Fabregas atakuwa amerudi kabla ya robo fainali? We miss his creativity at the centre of the park for sure!

...Ee ndugu yangu, hiyo ndio dua ya wana bunduki wote, ...pengo lake halijazibika yule... Mungu ibariki, Rosicky, Adebayor na Fabregas wote watakuwa weshapona kipindi hicho, Mungu akipenda!
 
...mnh, we acha tu, nilipatwa na homa ya ghafla, ...roho inaweza kuacha mwili kiutani utani tu!

...Ee ndugu yangu, hiyo ndio dua ya wana bunduki wote, ...pengo lake halijazibika yule... Mungu ibariki, Rosicky, Adebayor na Fabregas wote watakuwa weshapona kipindi hicho, Mungu akipenda!

Ha ha ha mimi nilijua tu ulipoaga kwamba una safari basi nikajua tu pressure ilikuwa kali sana hivyo usingeweza kuendelea kuangalia...Hii inaonyesha ubora wa EPL maana kama sikosei ni mwaka wa pili mfululizo kuwa na timu nne kwenye robo fainali na kuna uwezekano kama ratiba itawapendela, kuwa na timu hizo hizo nne kwenye semi finals na final itakuwa ni ya timu za UK.
 
Hongereni Gunners ila mbona hao VIBONDE wamewasumbua sana
 
Back
Top Bottom