MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,679
- 1,612
narudia tena kusema arsenal ni mbovu na msitegee kuona maajabu yoyote msimu huu mpaka yule mpumbavu wenger atakapotimuliwa na falsafa zake za kipuuzi zitakapofutiliwa mbali.
narudia kuwaambia wadogo zangu kuwa arsenal still ni timu mbovu na msitegemee kufanya lolote la ajabu msimu huu mpaka yule mzee mpumbavu atakapotimuliwa
Wazee Mko apo??
Arsenal 3 New Castle 1
BBC SPORT | Football | Premier League | Newcastle 1-3 Arsenal
Tunaingia uwanjani dakika chache zijazo dhidi ya MAN CITY kuna uwezekano wa Fabregas na Adebayor kucheza leo. Haya wapenzi wa GUNNERS tufuatilie mechi hii I hope tutaibuka na ushindi wa goli zaidi ya moja.
Dah Gooners wamepata goli la madhabe hapa kupitia kwa adebayo!! kazi kweli kwelii
Dakika ya 8 Adebayor analiona lango la MAN CITY kwa kichwa π
Hiii naitabiria draw leo! ngoja tuone 2nd half
Nimekubali mwana wacha niwe mpole naona beki ya city imepotea kabisa zis second half
Ha ha ha ha mbona una surrender mapema namna hiyo!!! Kumbuka mpira ni dakika 90 na ndiyo kwanza dakika ya 59 π Endelea na utabiri wako...by the way goli la pili lilifungwa na yule yule Adebayor
Ha ha ha ha mbona una surrender mapema namna hiyo!!! Kumbuka mpira ni dakika 90 na ndiyo kwanza dakika ya 59 π Endelea na utabiri wako...by the way goli la pili lilifungwa na yule yule Adebayor
Mmefurahi eeh Arsenal fans?!.. Hongereni, naona Ade kawachangamsha leo..
Hongereni wana-gunners, mwasuasua lakini mwaja taratibu- mtafika tu.
...shukran!!!
View attachment 4153
Returning heroes: Cesc Fabregas congratulates Emmanuel Adebayor for scoring the second of his two goals