dakika ya ngapi mrembo?
washabiki wa arsenal inaonekana mnachonga sana ngenga kama wa simba.......
......kule man u mbona kimya?
washabiki wa arsenal inaonekana mnachonga sana ngenga kama wa simba.......
......kule man u mbona kimya?
hapo sawa maana nawao wakishinda wanakujaga na vi deo vyao vya kutengeneza youtube basi karaha humu........mambo yao magumu kule,...
2-2 sio nzuri!
hapo sawa maana nawao wakishinda wanakujaga na vi deo vyao vya kutengeneza youtube basi karaha humu.....
Jason kid kacheza leo arsenal?
Hawa Villareal tutawachinja wakitia mguu Emirates, hope RVP na Eduardo watakuwa fit ili pale mbele tucheze na mastriker wawili wa kuaminika. Naskia Gallas atakuwa out for the rest of the season! Bring on Porto, go on you gunners!
wajameni eeeh! TUMEZIDIWA!
Possession statistics
Villareal 54%
Arsenal 46%
Mkubwa naona jana lile draft yenu lilipotea naamini mtapita maana hao jamaa wanacheza kama nyie wanataka pasi mpaka golini