Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Inawezekana kabisa kushika nafasi ya pili, lakini lengo liwe kushinda every next match, naona Wenger amejutia hadharani pointi zilizopotea mwanzoni mwa ligi ambazo zingekuwa za muhimu sana kwa kuwania top honours!! Ngoja tuwaze kuhusu mechi ya J5, nadhani tutacheza bila handibreki, na yule Senna wao hayupo!!
 
Mchezaji nyota na kiungo wa VILLARREAL Marcos Senna, hatashiriki katika mechi na Arsenal siku ya jumatano kutokana na kuwa majeruhi.

Jana Marcos Senna alitoka katika dakika ya themanini baada ya kuumia msuli katika mechi na timu ya Malaga ambapo Marcos Senna Villarreal ilifungwa magoli 2-0.

Mchezaji huyu ni muhimu sana kwa timu hio ya Spain kwani hucheza katikati akisaidia mabeki 9defensive midfilder) na wakati huo huo kushambulia na ndio alipata goli dhidi ya Arsenal baada ya dakika kumi tu ya mchezo kwa kuvurumusha shuti kali lililoingia golini kwa Arsenal.

Hii ni habari nzuri kwa Arsenal na jumatano Fabregas atatawala sehemu ya kiungo.

...duuuuh! afadhali, maana lile goli alilotufunga na jingine akatukosakosa kipindi cha ili mnhhh, halafu na majeruhi kwenye defence tulokuwa nao....
 
...Lassanna Diarra aache longo longo, "kisebusebu na kiroho juu juu!", record yake ndio msema kweli, timu tano katika miaka mitano ni uthibitisho tosha hafai, ...NOT GOOD FOR THE GUNNERS!!!!!!!!!!!!!!!
Mbu huyo dogo ni Defensive Midfielder mzuri sana pale Chelsea ilikuwa ngumu kupata nafasi sababu kulikuwa na viungo wengi(Essien,Ballack,Obi na Makelele) nafikiri hapo Arsenal palikuwa panamfaa kwanza sera za Wenger kupenda Wafaransa na umri wake ulikuwa mdogo na angesaidia hasa baada ya kuondoka FLA-MONEY nikashangaa jamaa anamuuza tena kwa bei chee na pale Madrid jamaa ndio new Makelele
 
Wazee naona mmekwenda kwenye tunguli hahaha,!!!

...'kwani wao waweze wana nini hata sie tushindwe tuna nini?' ...mchawi wetu kasema kipindi cha pili ndio tuanze mchezo!

Mbu huyo dogo ni Defensive Midfielder mzuri sana pale Chelsea ilikuwa ngumu kupata nafasi sababu kulikuwa na viungo wengi(Essien,Ballack,Obi na Makelele) nafikiri hapo Arsenal palikuwa panamfaa kwanza sera za Wenger kupenda Wafaransa na umri wake ulikuwa mdogo na angesaidia hasa baada ya kuondoka FLA-MONEY nikashangaa jamaa anamuuza tena kwa bei chee na pale Madrid jamaa ndio new Makelele

...Na kweli, AW hakudhani Flamini (aliyekulia Arsenal) angeondoka, by the time anang'amua hilo tayari Lassana keshawasilisha hati za uhamisho!
 
Inawezekana kabisa kushika nafasi ya pili, lakini lengo liwe kushinda every next match, naona Wenger amejutia hadharani pointi zilizopotea mwanzoni mwa ligi ambazo zingekuwa za muhimu sana kwa kuwania top honours!! Ngoja tuwaze kuhusu mechi ya J5, nadhani tutacheza bila handibreki, na yule Senna wao hayupo!!

Mechi itakuwa ngumu, inatakiwa concentration ya hali ya juu sana. Wale Villareal watatafuta goli la mapema ili waweze kusettle na kutuachia kazi sisi, natumai Mzee Wenger atawaandaa vijana vizuri. Come on Gunners!!!!
 
...majeruhi wengi maazzeee... dawa yao funga nikufunge, wakizubaa tuwachape kama matatu ya haraka haraka!

Mikael Silvestre, who started his first league game since December on Saturday, is likely to partner Kolo Toure at the heart of Arsenal's defence on Wednesday with Armand Traore an option in place of Clichy at left back.
 
Na nyie mmezidi kupewa vibonde, chezeni na wakali.
 
Arsenal

Lukasz Fabianski
Emmanuel Eboue
Kolo Toure
Mikael Silvestre
Kieran Gibbs
Theo Walcott
Cesc Fabregas (c)
Alex Song
Samir Nasri
Robin Van Persie
Emmanuel Adebayor

Substitutes

Vito Mannone
Abou Diaby
Eduardo
Carlos Vela
Denilson
Aaron Ramsey
Nicklas Bendtner

...Almunia, Sagna, Clichy, Djourou, Gallas ...wote nje! 🙁
 
Robert Pires hayupo? Nadhani nilisikia kuwa he will be back,hata hivyo hongera gunners,hapa nawatch man u nao wako mbele kwa bao la Ronaldo.
 
Robert Pires hayupo? Nadhani nilisikia kuwa he will be back,hata hivyo hongera gunners,hapa nawatch man u nao wako mbele kwa bao la Ronaldo.

Pires yupo, na matokeo mpaka muda huu ni;

ARSENAL 2 - 0 VILLAREAL

...Adebayor huyo! 😀
 
...matokeo mpaka muda huu ni;

ARSENAL 3 - 0 VILLAREAL

...Robin Van Persie huyo! 😀
 
....mbona hamshangilii??? hamtaki eeh? ha ha haaaa...
 
The penalty was HARSH.........to be followed by a second yellow.
 
Back
Top Bottom