MpigaFilimbi
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 1,169
- 187
Inawezekana kabisa kushika nafasi ya pili, lakini lengo liwe kushinda every next match, naona Wenger amejutia hadharani pointi zilizopotea mwanzoni mwa ligi ambazo zingekuwa za muhimu sana kwa kuwania top honours!! Ngoja tuwaze kuhusu mechi ya J5, nadhani tutacheza bila handibreki, na yule Senna wao hayupo!!