Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mzee AW ameconfirm leo kuwa Gallas will be out for a season, Almunia- 3 weeks na Clichy-2 weeks. Crisis?
 
Mzee AW ameconfirm leo kuwa Gallas will be out for a season, Almunia- 3 weeks na Clichy-2 weeks. Crisis?

...πŸ™ a big one bro,

Imagine sasa golie ni Fabianski, reserve ni Vito Mannone

halafu beki ya kushoto 1st choice ni mkongwe 'mgonjwa mgonjwa' Mikael Silvestre, akisaidiwa na dogo Kieran Gibbs,.... sijui Wenger atamrudisha Armand Traore?

Kwa Gallas pale Johan Djourou sina wasiwasi nae, japo mnh.... Kolo Toure naye 'spana mkononi' ukizingatia mechi zijazo, mashambulizi makali ya wakali wa Anfield, Stanford Bridge na Old Trafford ambao wote watautumia udhaifu huo wa ngome yetu!

Fingers crossed kwa kweli...
 

Watani mshashikwa na kihoro?
 
Watani mshashikwa na kihoro?

...haifai jamani, 'uchawi' mpaka ulaya? kapona Fabregas na Eduardo, mnamuweka juu ya mawe Almunia na Gallas,....chonde chonde Man U, ...adui yenu Liverpool, sio ze Gunners πŸ™
 
...haifai jamani, 'uchawi' mpaka ulaya? kapona Fabregas na Eduardo, mnamuweka juu ya mawe Almunia na Gallas,....chonde chonde Man U, ...adui yenu Liverpool, sio ze Gunners πŸ™

Huyo ni mganga wa Aston Villa anayewafanyia vimbwanga.
 
Imagine sasa golie ni Fabianski, reserve ni Vito Mannone

Mbu nimeanza kuwa na imani na Fabianski, alidaka fresh sana ile game ya Villarreal, nadhani kushoto babu Sylvester na Gibbs watatosha kwa hizo wiki mbili. Traore tumuache aendelee kupata experience then end of season ndo arudi.
 
Mbu nimeanza kuwa na imani na Fabianski, alidaka fresh sana ile game ya Villarreal, nadhani kushoto babu Sylvester na Gibbs watatosha kwa hizo wiki mbili. Traore tumuache aendelee kupata experience then end of season ndo arudi.

...unajua tatizo la Fabianski naliona wapi? kwenye set pieces...! Tuombe tu mungu foul za kijinga jinga zitapungua madhali Clichy anauguza mgongo, maana recently naye miguu yake hupata kigugumizi akiwa ana defend. He needs a break!

...Armand Traore naona ndio natural successor wa Clichy, kama alivyokuwa Clichy kwa 'Cash'ley Cole, ...na 'Cash'ley Cole alivyokuwa kwa Silvinho...

Anyway, Arsene Wenger knows them better!
 

...Lassanna Diarra aache longo longo, "kisebusebu na kiroho juu juu!", record yake ndio msema kweli, timu tano katika miaka mitano ni uthibitisho tosha hafai, ...NOT GOOD FOR THE GUNNERS!!!!!!!!!!!!!!!
 
...half time πŸ™ tushalala kamoja, ...kama hilo halitoshi, Johan Djourou majeruhi!
 
Kha! Mmewachezea sana Wigan leo, congrats kwa ushindi! Japo walipoanza kufunga cha kwanza mlianza kudata..
 
Kumbe 4?
uzuri wa bia bana yaani mimi naona wenye nyekundu wanashangilia kila wakati kumbe zishafika 4?
 
Let us we gunners celebrate!!!...

With a first-half performance like that you wonder why Arsenal aren't mid table.....but with a completely switched second-half performance, it becomes obvious why we are in the top 4
 
Arsenal boss Wenger or Le Proffesor said yesterday that, third place is very important this time because it means automatic qualification for the Champions League next season.
 
Mchezaji nyota na kiungo wa VILLARREAL Marcos Senna, hatashiriki katika mechi na Arsenal siku ya jumatano kutokana na kuwa majeruhi.

Jana Marcos Senna alitoka katika dakika ya themanini baada ya kuumia msuli katika mechi na timu ya Malaga ambapo Villarreal ilifungwa magoli 2-0.

Mchezaji huyu ni muhimu sana kwa timu hio ya Spain kwani hucheza katikati akisaidia mabeki 9defensive midfilder) na wakati huo huo kushambulia na ndio alipata goli dhidi ya Arsenal baada ya dakika kumi tu ya mchezo kwa kuvurumusha shuti kali lililoingia golini kwa Arsenal.

Hii ni habari nzuri kwa Arsenal na jumatano Fabregas atatawala sehemu ya kiungo.
 
Last edited:
Wapinzani wetu wa karibu (Everton na Aston Villa) wametoka ngoma draw 3-3. So, nafasi ya 4 tumeishika sawasawa.

Lengo sasa ni kuwakimbiza wale watatu pale juu, japo tushike namba 3, au namba mbili kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…