Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Naona watoto wa Mr. Bean ngoma imekuwa nzito kidogo. Hivi ni kigezo gani Mr.Bean amekitumia kumuweka Arshavin benchi? Mr. Bean wakati mwengine huwa anajifanya Newton au Einstein flani hivi kumbe hamna kitu..buuuuyuuu!
Sasa ndo hivyo msimu tasa mwengine ndio huo unajifunua..poleni the blankers!
Sasa ndo hivyo msimu tasa mwengine ndio huo unajifunua..poleni the blankers!