Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

there was a nice move by Arsenal only for Fabregas to miss the last touch!!
 
Pamoja na majeruhi wengi bado vijana wanajitahidi kadri ya uwezo wao. 30 minutes zimekatika bado ni 0 kwa 0
 
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOal!!! Andrey Arshavin anatunyanyua!!
 
Usiwe na hofu mkuu, ulidhani mvua itanyesha?

Naam nilidhani mvua itanyesha maana hii mechi ni muhimu sana kwa L'pool katika mbio za dhidi ya MANU. Na kwa kujua kwamba tuna majeruhi wengi basi wangeamua kutuletea mvua kubwa. Ha ha ha leo SAF, Wacheza na wapenzi wote wa MANU wanaishangilia timu yetu. SAF katoa BIG G yake huku akiifuatilia mechi kwa makini sana.
 
Naam nilidhani mvua itanyesha maana hii mechi ni muhimu sana kwa L'pool katika mbio za dhidi ya MANU. Na kwa kujua kwamba tuna majeruhi wengi basi wangeamua kutuletea mvua kubwa.

Naona wao ndio wanafukuza mechi sasa! Hawa vijana hapa nyuma naona wanacheza na mpira wakati Torres yupo!
 
Naam nilidhani mvua itanyesha maana hii mechi ni muhimu sana kwa L'pool katika mbio za dhidi ya MANU. Na kwa kujua kwamba tuna majeruhi wengi basi wangeamua kutuletea mvua kubwa. Ha ha ha leo SAF, Wacheza na wapenzi wote wa MANU wanaishangilia timu yetu. SAF katoa BIG G yake huku akiifuatilia mechi kwa makini sana.

...ha ha haaaaaa wanatuombea Arsenal tushinde dah.... ama kweli kunyang'anywa tonge mdomoni si shughuli ndogo! ...BTW Man U wana a game in hand, sijui presha yao ya nini? 😀

...Game tucheze sie Presha iwapande wao, ha ha haaaa...
 
Mambo yametugeukia!! Liverpool2

...woz just a matter of time bro,....team yetu dhaifu mno upande wa defence, na kwa team ilivyo sasa, j'5 na manure 'tutakunywa' magoli!

...🙂 uzuri tunaumia wengi leo, Arsenal na wakereketwa wa Manure!
 
Back
Top Bottom