Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Arsenal japo hamjalipa fadhila vizuri kwa hiyo mechi zetu zote mtapata vipigo vidogo. Sasa nafasi ya Man U kutesa.
At the end haipendezi siku Arshavin alipofunga 4 haikutosha kushinda mechi, nadhani Wenger anaregret kutompanga na Chelsea!
Hongera Arsenal ... kweli leo mmejitahidi, lakini kushindwa kulinda goli la mwisho, duh mmetukata maini wana Man ingawa bado tuko juu!
Hongera Arsenal ... kweli leo mmejitahidi, lakini kushindwa kulinda goli la mwisho, duh mmetukata maini wana Man ingawa bado tuko juu!
Tumewabeba kidogo hivyo bado mko kileleni mnapeta.
Mbu ina maana goli zote kafunga Mrussi Ashravin leo!!..huh!..kafanya karamu leo!..Naona kama mlitaka draw au mfungwe ili man utd wasichukue pl (kidding)
BAK, yani kama golikipa na mabeki wetu angegangamara hawa jamaa leo wangeumia.