Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Misimu karibu mitatu mmetoka kapa ,sizitaki mbichi hiziNijuavyo arsenal hawaweki nguvu zao kwenye makombe yasio na kichwa na miguu kama hili la bati FA
Labda mkimtimua Mr.Bean bila hivyo mtaendelea kuwa wasindikizaji...We will be right back!!
Labda mkimtimua Mr.Bean bila hivyo mtaendelea kuwa wasindikizaji
..tell 'em YO YO tell em!!!
...hatulitaki hilo, kwanza tushatwaa makombe yoooote hayo isipokuwa la Champions league, tumewapa ushindi machokoraa wa darajani ili nao wajisikie, 1947 zamani ati!!!!!!!!
Tunawaombea mpate droo ingawa mkishinda itakuwa vizuri kwetu but mtapiga kelele mno....mashaka tu! breaking news; Adebayor na Robin Van Persie out of Arsenal squad to meet Liverpool tomorrow... ndio kusema? Bendtner na Eduardo... Arshavin, Vela na Walcott also available.
kESHO IS A DAY YA MIXED FEELINGS
CHELSEA NA MANURE WANASALI ARSE** MTUFUNGE; LAKINI MKITUFUMA MJUE MMEWAPA MANURE UBINGWA... Habari ya Van Pussie na Adebola ni njema kwetu
Robin Van Persie and Emmanuel Adebayor have been ruled out of Arsenal's game against Liverpool on Tuesday night. Both were substituted at the weekend against Chelsea with Adebayor suffering a hamstring injury and Van Persie struggling with a groin problem.
No malice!!!!
Mbu poleni kwa kipigo cha weekend toka kwa Chelsea!..
Mbu acha hizo wewe!Chelsea mara ya mwisho kombe wamechukua 2007,wakati Arsenal mara ya mwisho wamechukua 2005.kama hamlitaki hilo msimu huu mnaondoka tena patupu.
Tunawaombea mpate droo ingawa mkishinda itakuwa vizuri kwetu but mtapiga kelele mno
kESHO IS A DAY YA MIXED FEELINGS
CHELSEA NA MANURE WANASALI ARSE** MTUFUNGE; LAKINI MKITUFUMA MJUE MMEWAPA MANURE UBINGWA...
Hivi mnataka kuniambia sisi washabiki wa Arsenal ndio wenye kelele kuwashinda wa Man U? sidhani, au kwenye thread hii tu? nawajua ManU kwa kuchonga.
...ha ha haaa... washabiki wa ManU game ya leo wanaikodolea game ya leo kwa macho ya kwanini! Hivi mkoje nyie?...π
Naona Arsene Wenger kaamua kuwaongezea (ManU) maumivu leo... cheki team aliyoipanga;
Fabianski, Sagna, Toure, Silvestre, Gibbs, Nasri, Song, Denilson, Fabregas, Arshavin, Bendtner ...4-5-1 formation
Liverpool mshindwe nyie tu tena hapo π
Sidhani kama Arsenal itashinda leo maana inabidi tukumbuke kwamba Man Utd tunacheza nao mara 2 kwenye UEFA kwa wiki chache zijazo na kama tukishinda leo inamaana Utd watakuwa hawana pressure and they can manage to rest some of their key players. I would prefer us to loose today and beat Man Utd to reach the finals rather than to win today and loose to Man Utd, allowing them to do what they did last season!
Kwa jinsi AW asivyopenda mind games za AF, yuko tayari auze mechi ya leo. kimsingi Arsenal wameshajihakikishia angalau nafasi ya nne. focus yao iko kwenye kombe la ulaya. Kwa hiyo hakuna cha kupoteza leo.