Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
Nakubaliana nawe kabisa hii timu yetu msimu huu sijui kama tutakuwa hata katika top 8. Ni mdebwedo wa hali ja juu kuiachia timu ambayo ilikuwa karibu kabisa na kileleni na ilihitaji few more good players kuweza kushinda EPL, sasa hivi nadhani wachezaji wengi wa GUNNERS watakuwa wamekata tamaa na si ajabu baadi yao wakaondoka kati ya sana na kipindi kifupi cha usajili katika ya December na January 2010.
...BaK, habari za likizo? ...mimi sina mashaka kabisa na msimu wa 2009- 2010,...top two bila wasiwasi, jipe moyo bro.
Wenger anastahili kuzomewa kila siku iendayo kwa Mungu na uwanja si ajabu hata usifikishe half of its capacity. Miye nitabaki Arsenal with expectation kwamba wanaweza kubadili mwelekeo wa timu in few years lakini timu ya kuogopa mwaka huu ni ManCity maana mwarabu kaamua kuweka pochi lake wazi kabisa ili kuimarisha timu hiyo, ukiondoa majeruhi sioni timu yoyote ya kuizuia timu hiyi kuutwaa ubingwa, lakini tusisahau katika dakia 90 chochote kile kinaweza kutokea hasa kama timu imejiamni kupita kiasi.