Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nakubaliana nawe kabisa hii timu yetu msimu huu sijui kama tutakuwa hata katika top 8. Ni mdebwedo wa hali ja juu kuiachia timu ambayo ilikuwa karibu kabisa na kileleni na ilihitaji few more good players kuweza kushinda EPL, sasa hivi nadhani wachezaji wengi wa GUNNERS watakuwa wamekata tamaa na si ajabu baadi yao wakaondoka kati ya sana na kipindi kifupi cha usajili katika ya December na January 2010.

...BaK, habari za likizo? ...mimi sina mashaka kabisa na msimu wa 2009- 2010,...top two bila wasiwasi, jipe moyo bro.

Wenger anastahili kuzomewa kila siku iendayo kwa Mungu na uwanja si ajabu hata usifikishe half of its capacity. Miye nitabaki Arsenal with expectation kwamba wanaweza kubadili mwelekeo wa timu in few years lakini timu ya kuogopa mwaka huu ni ManCity maana mwarabu kaamua kuweka pochi lake wazi kabisa ili kuimarisha timu hiyo, ukiondoa majeruhi sioni timu yoyote ya kuizuia timu hiyi kuutwaa ubingwa, lakini tusisahau katika dakia 90 chochote kile kinaweza kutokea hasa kama timu imejiamni kupita kiasi.
 
[/B]

Teh teh teh Mgonjwa yupo ICU anapumua kwa mashine bado mnajipa Moyo mazee? Safari hii hata top Six hampo!
 
Bro haya tusubiri kidogo maana penye ukweli uwongo hujitenga. Inawezekana kabisa kauli yako ikawa ni kweli tupu.
 
...2009 -2010 is Arsenal decisive season,...Mpwa umerudi eeh? haya...😀
nasema hivi, another failure inamaanisha mass exodus ya key players kusambaratika na AW mwenyewe kutimuliwa! No wonder the belief within the players is so massive,...Our time is nigh, 'the crop of Invicibles!'

Bro haya tusubiri kidogo maana penye ukweli uwongo hujitenga. Inawezekana kabisa kauli yako ikawa ni kweli tupu.
 
Washabiki wa Arsenal uwa mnaniacha hoi sana. Ebu tuwekeeni idadi ya magoli ya Adebayor, na washambuliaji wengine tangu kujiunga kwao na Arsenal.
 
Nakubaliana nawe kabisa hii timu yetu msimu huu sijui kama tutakuwa hata katika top 8. Ni mdebwedo wa hali ja juu kuiachia timu ambayo ilikuwa karibu kabisa na kileleni na ilihitaji few more good players kuweza kushinda EPL, sasa hivi nadhani wachezaji wengi wa GUNNERS watakuwa wamekata tamaa na si ajabu baadi yao wakaondoka kati ya sana na kipindi kifupi cha usajili katika ya December na January 2010.

Wenger anastahili kuzomewa kila siku iendayo kwa Mungu na uwanja si ajabu hata usifikishe half of its capacity. Miye nitabaki Arsenal with expectation kwamba wanaweza kubadili mwelekeo wa timu in few years lakini timu ya kuogopa mwaka huu ni ManCity maana mwarabu kaamua kuweka pochi lake wazi kabisa ili kuimarisha timu hiyo, ukiondoa majeruhi sioni timu yoyote ya kuizuia timu hiyi kuutwaa ubingwa, lakini tusisahau katika dakia 90 chochote kile kinaweza kutokea hasa kama timu imejiamni kupita kiasi.

Ni kweli Arsenal itakuwa ktk wakati mgumu kama haitapata replacement ya maana. Labda kama watazama mifukoni kumchukua Huntelaar.

Watu wengi wanaodhani Ade hakuwa na msaada wanasahau kuwa timu yenye uwezo kuchukua vikombe UK ni lazima iwe na uwezo wa ku-force magoli. Na kama huna wachezaji wenye nguvu hilo haliwezekani.

Ade anao uwezo wa kushield mpira..anapiga vichwa..anatoa assist. Wachezaji akina Eduardo, van Persie na Wallacot ni injury prone, pia wote hawana uwezo wa kukaaa na mpira wakikutana na beki kama Terry au Alex unaweza kudhani hawapo uwanjani. Ukija kwenye umaliziaji wote hawana viwango vya kumzidi Ade..Hata huyu Chamakh wakimnunua sidhani kama ana physical presence ya maana..

Natabiri hata nafasi ya UEFA itakuwa kazi sana kwa Arsenal..na mwakani tutegemee Fab kurudi Spain.
 
Teh teh teh Mgonjwa yupo ICU anapumua kwa mashine bado mnajipa Moyo mazee? Safari hii hata top Six hampo!

MiMI SIONI KAMA THE GUNNERS FUN WANA HAJA YA KUOGOPA SANA. TATIZO NI KWAMBA TIMU PEKEE YA UK ILIYOFANYA USAJILI WA KUTISHA NI MAN C TU. TIMU NYINGI VIKOSI VIMEBAKI VILE VILE HUKU TIMU KAMA MAN U WAKIWA WAMEPOTEZA KEY PLAYERS WAWILI( RONALDO NA TEVEZ). SIONI MABADILIKO MAKUBWA YA TOP FOUR SABABU SI LAZIMA MAN C ILETE UPINZANI MKUBWA SANA KAMA WATU WANAVYOFIKIRI. MAN U INA WACHEZAJI WAZURI BADO ILA MCHANGO WA RONALDO NA UWEZO WA KUBADILI MPIRA UTAKOSEKANA SAAAANA.
 
...Man City watakuwa mdebwedo kama enzi zile ya Galaticos, Ronaldo, Beckham, Zidane na Figo walipokuwa team moja!...

Team haiundwi na star players, Manager anayeweza kuwa blend hao mastar kucheza kitimu ndio deal! Mark Hughes hana uwezo huo..!!!

Man City watafurukuta lakini maringo ya Robinho na Ade kwa Manager wao itakuwa chanzo cha kutimuliwa (Hughes),...natabiri Everton na Aston Villa zitaendelea kuwatikisa Big four...

Arsenal ina nafasi nzuri ya top two positions kuliko misimu miwili iliyopita, mbali na Eduardo na Rosicky kurudi uwanjani, pia tunajivunia stability kwenye team hasa kubakiza wachezaji wale wale.

Team zilizo makini Man U, Liverpool, Chelsea na Arsenal hawajapapatika kununua wachezaji, ...wamejaza nafasi muhimu ambao wanahitajika mpaka dirisha dogo la January. Michael Owen atakuwa instant hit Man U, Glenn Johnson atasaidia sana stability kwenye defence ya Liverpool, kama Vermaelen atavyosaidia defence ya Arsenal.
 
gun__1245834934_nasri_night.jpg

Samir Nasri

Samir Nasri suffers fractured right fibula

Nasri has sustained a fractured fibula during this morning's training session at the Club's pre-season training camp in Austria.
The midfielder will be out of action for two to three months. veryone at the Club wishes Samir 8 a speedy recovery.
big loss wakuu na imekuja mapema mno sasa hapa wenger naona lazima afanye usajili wa striker hili arshavin acheze nafasi ya nasri mpaka akipona huku akisaidiana na rosicky.najua rosicky angekava lakini sidhani kama yuko ready.
 
gun__1245834934_nasri_night.jpg

Samir Nasri

Samir Nasri suffers fractured right fibula

Nasri has sustained a fractured fibula during this morning’s training session at the Club’s pre-season training camp in Austria.

Poleni wapinzani....japo adui siku zote mwombee njaa!
 
...aaaarrrrgggghhhh! mkosi au kafara? 😡
 
naangalia game hapa 7-1 tunaongoza huyu mtoto wilshere huyu future yetu.mpira umeisha wafungaji van persie 2 goals,ben 2 goals,ramsey 2 goals,gallas 1.
 
Last edited:

...halafu mkosi wenyewe (prone to injuries) wale wale misimu yote;

Nasri, Diaby, Djourou, Van Persie, Eduardo, Rosicky, Clichy,... eee Mw'Mungu tusaidie weee... msimu huu sitaki maradhi ya moyo mimi mwenzenu eeeh,...doooooh!
 
Sasa kama mnavunjana miguu kwenye training si balaa hili....mna million 25 za Adebayor tafuteni mchezaji mkali wa nusu ya hiyo bei acheni ubahili.
 
...halafu mkosi wenyewe (prone to injuries) wale wale misimu yote;

Nasri, Diaby, Djourou, Van Persie, Eduardo, Rosicky, Clichy,... eee Mw'Mungu tusaidie weee... msimu huu sitaki maradhi ya moyo mimi mwenzenu eeeh,...doooooh!
Poleni sana ,msipoangalia hata top 4 hamgusi
Mbona kila mwaka majeruhi mmemkosea nini Mungu
 
Jiandaeni tena next season Fabregas anaondoka
 
Back
Top Bottom