Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal kuna matatizo ya kutokupenda kushoot nje ya box, kuna mpira jesus alimpindua beki ilikuwa anapaswa kuzungusha ule mpira ama kuubutulia tu golini kipa ahangaike nao, akaopt kupasia
 
Hahaha ni Will Jr

Alisema anabahatisha. Nahisi umehisi ni mimi coz niliwahi argue naye juu ya hilo na ikawa points nyingi za kumpinga anatoa kwenye page ya X ya jamaa anajiita nonewthing
Okey okey, nimekumbuka
 
Hapa anasema Partey siyo namba 6.

Hii ndiyo timu inayonipa confidence dhidi ya mpinzani yoyote, Partey at #6, Rice & Martin odegaard, 4CBs white, Saliba, Gabriel & Timber, 3 Attackers- Saka, Martinelli & havertz, that's my dream team
Hapa anasema anakua na confidence Partey akiwa namba 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…