Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal kuna matatizo ya kutokupenda kushoot nje ya box, kuna mpira jesus alimpindua beki ilikuwa anapaswa kuzungusha ule mpira ama kuubutulia tu golini kipa ahangaike nao, akaopt kupasia
 
Screenshot_2025-01-01-21-28-54-174_com.android.chrome.jpg


mkorea
 
Hahaha ni Will Jr

Alisema anabahatisha. Nahisi umehisi ni mimi coz niliwahi argue naye juu ya hilo na ikawa points nyingi za kumpinga anatoa kwenye page ya X ya jamaa anajiita nonewthing
Okey okey, nimekumbuka
 
Partey sio namba 6, hajawahi kuwa namba 6, ni kiburi cha Mikel tu kuforce vitu visivyowezekana but i thank God Arteta karudi kwenye basics, Guardiola hawezi mchezesha Partey namba 6 kamwe, Arsenal tutachukua EPL / UCL huku Declan Rice akiwa namba sita afu nitakukumbusha hizi comment zako.
Hapa anasema Partey siyo namba 6.

Hii ndiyo timu inayonipa confidence dhidi ya mpinzani yoyote, Partey at #6, Rice & Martin odegaard, 4CBs white, Saliba, Gabriel & Timber, 3 Attackers- Saka, Martinelli & havertz, that's my dream team
Hapa anasema anakua na confidence Partey akiwa namba 6
 
Back
Top Bottom