Arsenal (The Gunners) | Special Thread

In response Arteta anafanya sub tatu

Anaingia Rice, Trossard na Myles. Anatoka Merino, Calafiori na Nwaneri
 
Arsenal ni timu ambayo inaaanza kufungwa na unaamini itashinda
Arsenal ipi hii ya sasa?? mmh!!! ila sishangai maana false hopers suala la kuamini kwenu ni suala mtambuka๐Ÿ˜‚.

The last time nilikua false hoper ile ndo ilikua arsenal mazee ivi kombe mlikosa vipi nyinyi daah!
Yaani arsenal ilikua inatisha mpaka Christmas watu wote wakakubali acha false hope ichukue kombe maana mpira ulikua unapigwa hatari yule zinchenko kama sijui inverted nini vile ๐Ÿ˜†, jesus yupo moto.
Gemu na Bournemouth , man utd uwanja ulikua umeinama mpira unapigwa haswa mwanangu bukayo ananitesea luke shaw .
Mwisho wa siku ikawa false hope nikaona hapana inatosha hizi false hope for 20 years zimezidi.
Arsenal ya sasa mmepoa sana kuanzia wachezaji mpaka mashabiki๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ yaani mpaka hamis kakacha unafanya mchezo.
Castr ukimwambia Arsenal bingwa lazima akukatae saivi, zincheko mmepeleka wapi na lile ball lenu la inverted midfielder mzee .
Leo nimeangalia mpira wenu naona mnarukaruka tu
 
Umeandika maelezo marefu ila haujasema kama baada ya kutangulia kufungwa leo Arsenal imeshinda au imefungwa
 
Unaweza ukahatewatch baadhi ya timu na ukapata unachotaka. Ukaona makosa, udhaifu na hatimaye timu inafungwa.

Ukihatewatch Arsenal ukitarajia uone makosa na ifungwe unajichosha tu. Muda wa kufanya hivyo ungelala uwahi kuamka kesho yake. Kuna wengine hua Arsenal ikitanguliwa wanashindwa kujizuia wanapost matokeo haraka mfano ARV wengine hua wanasubiri mechi iishe ndiyo wanakuja kuandika historia.

Unlike Manchester United, Newcastle, ambazo unaweza predict hata siku nne kabla kwamba zitafungwa na zikafungwa kweli. Kwa Arsenal wanaprefer kufanya ubashiri huku mechi inaendelea.

Niliwahi sema Arsenal ikisuluhu ni jambo la ajabu na ushindi kwa wengi kwakua hiyo ndiyo standard. Hata mashabiki tunakasirika tukisuluhu. Sasa wamejua kwamba watakua hawaingii huu uzi kama watasubiri tusuluhu au tufungwe so wanaingia tu hivyohivyo, wanaandika kitu kilichowafurahisha wanaondoka.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenyo ya miaka 2 iliyopita hata kucomment humu ilikua ni marufuku mpaka uonyeshe kwanza cheti chako cha ukocha, na wengine wakapiga mpaka marufuku wasikotiwe.
Hili jukwaa lilipitia masahibu mazito sana aiseeee.
 
Mimi nilikuwa nafurahia tu goli la kwanza EPL mwaka 2025 na nikafurahi zaidi kuona goli hilo amefungwa aseno'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ