Unaweza ukahatewatch baadhi ya timu na ukapata unachotaka. Ukaona makosa, udhaifu na hatimaye timu inafungwa.
Ukihatewatch Arsenal ukitarajia uone makosa na ifungwe unajichosha tu. Muda wa kufanya hivyo ungelala uwahi kuamka kesho yake. Kuna wengine hua Arsenal ikitanguliwa wanashindwa kujizuia wanapost matokeo haraka mfano
ARV wengine hua wanasubiri mechi iishe ndiyo wanakuja kuandika historia.
Unlike Manchester United, Newcastle, ambazo unaweza predict hata siku nne kabla kwamba zitafungwa na zikafungwa kweli. Kwa Arsenal wanaprefer kufanya ubashiri huku mechi inaendelea.
Niliwahi sema Arsenal ikisuluhu ni jambo la ajabu na ushindi kwa wengi kwakua hiyo ndiyo standard. Hata mashabiki tunakasirika tukisuluhu. Sasa wamejua kwamba watakua hawaingii huu uzi kama watasubiri tusuluhu au tufungwe so wanaingia tu hivyohivyo, wanaandika kitu kilichowafurahisha wanaondoka.