Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Chelsea kasuluhu.

Lakini hakuna atakayeshangaa.

Nikisema standards naambiwa naongopa.
 
Ingawaje Odergard mechi za hivi karibuni anazingua lakini hatuna mchezaji mwenye maamuzi ya haraka na akili kumzidi akifika kwenye final third. Timu inamuhitaji kabisa
 
Muda mwengine Arteta anapenda kujiwekea ugumu mwenyewe. Ana sababu gani ya kumpumzisha Odegaard?
Kila muda anatusuprise sana na selection zake😀.. Kama Merino na Rice wameanza sikuona sababu ya kuanza Jorginho. Ukiwa na Jorginho ndani utegemee timu kuwa slow na muda wowote tegemea makosa ya kuigharimu timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…