Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Lower your expectations and you will thank me later.
@fuentte

IMG-20250104-WA0019.jpg


Tuishi humu wanagunners
 
Hiki kikundi cha wahuni hakiwezi maliza juu ya man city
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tukiwaambia Arteta uwezo wake unaishia kwenye Top4 tu, hana akili wala uwezo wa kuchukua Epl watu wanakua wakali humu.
Tetea ni mid table coach, mentality yake ni ya kufundisha mid table team ambazo malengo yao makubwa ni kuwepo tu ndani ya top10 kwenye msimamo wa ligi.
kumtegemea Tetea abebe Epl au Uefa ni sawa na kutegemea bikra kutoka kwa single mother.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tukiwaambia Arteta uwezo wake unaishia kwenye Top4 tu, hana akili wala uwezo wa kuchukua Epl watu wanakua wakali humu.
Tetea ni mid table coach, mentality yake ni ya kufundisha mid table team ambazo malengo yao ni kuwepo kwenye top10 kwenye msimamo wa ligi.
kumtegemea Tetea abebe Epl au Uefa ni sawa na kutegemea bikra kutoka kwa single mother.

Nakumbuka kuna kipindi walisema pep akisepa wata dominate epl for 10 years [emoji23][emoji23].

Uzuri wa mpira si mambo ya kusadikika , unawaambia false hopers ubingwa hauchukuliwi kwa set pieces goals ila wanakaza mishipa ya shingo.

Zero open chance kwenye game 5 mfululizo plus ushindi wa papatu then ujite title contenders
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Brighton vs Arsenyo kura zimeangukia kwa huyu fundi.
1736021383394.jpg
 
Ngoja tutoe elimu ya bure kwa false hopers wote humu ndani kina castr , mkorea , henry na wengine wote.

Cha kwanza kabisa muelewe huu ni mpira hauendeshwi na false hopes bali performance ndani ya uwanja, ili uweze kuwa bingwa atleast uwe na 3 world classic players ndani ya team yako.

Beki 1 ambae ni world classic player , kiungo mmoja na striker mmoja wasipungue zaidi ya hapo , na kama sehemu mmoja kati ya hizo 3 hamna basi mbele pawepo na zaidi ya mmoja.

Amini amini nakuambia huwezi chukua ubingwa kwa kumtegemea martinelli , trossard , kai , saka na gabriel jesus . This are average players lakini ndani ya ulimwengu wa matumaini bandia kwenu ni kama world classic player ndo tatizo hilo linapoanzia.

World classic player pale arsenal ni mmoja tu william saliba halafu ni beki sasa ndo kama mnavyoona defence nzuri , tukija kati zero tukienda mbele zero mnabaki kushikana mashati na wengine kulikimbia jukwaa
 
Chelsea kasuluhu.

Lakini hakuna atakayeshangaa.

Nikisema standards naambiwa naongopa.

Nani ashangae wakati kila mmoja anajua chelsea ndo kwanza anajitafuta. Kuna kipindi chelsea akidraw watu tulikua tunashangaa lakini sio sasa.

Enzo ndo kwanza hana hata miezi 5 ndani ya chelsea lakini yupo fresh , bado anaitafuta top 4 , arteta huu msimu wake wangap pale arsenal?
Labda nikukumbushe tu arteta ni msimu wa 6 huu with zero major trophies .

Arsenal kwenye best form yenu hamna kombe lolote lakujivunia , chelsea kwenye best form anajivunia uefa 2 epl kibao na europa kibao .

Arsenal ana standard gani mzeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aah unajua nyinyi hili jukwaa mmelichukulia uwanja wa comedy nini?? Isije kuwa sisi kina flano na wengine tupo serious kumbe nyinyi wenzetu mmechukulia hapa ndo platform ya comedy nembu tuambiane mapema kabisa .
 
Back
Top Bottom