Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@fuentteLower your expectations and you will thank me later.
Wamepoteza moja au mbiliChelsea kapoteza point 1
Arsenal mnapoteza point 1
Liverpool mbele kwa mbele...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tukiwaambia Arteta uwezo wake unaishia kwenye Top4 tu, hana akili wala uwezo wa kuchukua Epl watu wanakua wakali humu.Hiki kikundi cha wahuni hakiwezi maliza juu ya man city
Hii comment iwekwe kwenye title ya huu uziLower your expectations and you will thank me later.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tukiwaambia Arteta uwezo wake unaishia kwenye Top4 tu, hana akili wala uwezo wa kuchukua Epl watu wanakua wakali humu.
Tetea ni mid table coach, mentality yake ni ya kufundisha mid table team ambazo malengo yao ni kuwepo kwenye top10 kwenye msimamo wa ligi.
kumtegemea Tetea abebe Epl au Uefa ni sawa na kutegemea bikra kutoka kwa single mother.
Nimeiweka kwenye fremu bhana. Hii timu pasua kichwa. Tumebaki kulalamika why Gordon na Kulu incident haikuwa penalty.Hii comment iwekwe kwenye title ya huu uzi
Arteta ameona a-overload midfield. Nimeipenda hii
Is all about mentalityNimeiweka kwenye fremu bhana. Hii timu pasua kichwa. Tumebaki kulalamika why Gordon na Kulu incident haikuwa penalty.
Kati ya Liverpool na city, kiukweli tuombee city azidi kupoteana. Liverpool tutajua wapi kwa kumdaka
By February 20 hivi Liverpool atatupisha pale juu
At that time saka atakua amerudi so tusiwe na majerui ya key players tu
Au sio mkuuNo Saka no Problem. Nwaneri ni full Saka. Mikimbio na dribling ni zilezile za Saka...
Twende taratibu tu mzee baba, February nimesema tutakua juu pale
Mmeshakuwa yanga wazee wa HesabuTwende taratibu tu mzee baba, February nimesema tutakua juu pale
Chelsea kasuluhu.
Lakini hakuna atakayeshangaa.
Nikisema standards naambiwa naongopa.