Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Twende taratibu tu mzee baba, February nimesema tutakua juu pale

Upo serious kaka au humu mnakuja kufanya comedy as arsenal fans?? Baada ya muda mnapotea jokes zikiiisha . Embu mtujuze mapema tushaanza kupata wasiwasi asee!!
 
Kama mko serious dirisha lipo wazi wachezaji wafuatao muwauze

Odegaard
Partey
White
Wale Gabrieli wote watatu
Zinchenko
Haverts
Trossard

Yani mmejaza magarasa tupu hivi nyie mnapoisifia Arsenali yenu humu huwa mnakuwa under influence ya alcohol Au?
 
Nani ashangae wakati kila mmoja anajua chelsea ndo kwanza anajitafuta. Kuna kipindi chelsea akidraw watu tulikua tunashangaa lakini sio sasa.

Enzo ndo kwanza hana hata miezi 5 ndani ya chelsea lakini yupo fresh , bado anaitafuta top 4 , arteta huu msimu wake wangap pale arsenal?
Labda nikukumbushe tu arteta ni msimu wa 6 huu with zero major trophies .

Arsenal kwenye best form yenu hamna kombe lolote lakujivunia , chelsea kwenye best form anajivunia uefa 2 epl kibao na europa kibao .

Arsenal ana standard gani mzeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aah unajua nyinyi hili jukwaa mmelichukulia uwanja wa comedy nini?? Isije kuwa sisi kina flano na wengine tupo serious kumbe nyinyi wenzetu mmechukulia hapa ndo platform ya comedy nembu tuambiane mapema kabisa .
Fact.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😋🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😃😃😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

Yaan uchukue ubingwa kiungo mkabaji yule mlenda rice😀😀😀😀😀

Wanangu mm ball nimecheza rice ni mchezaji wa akiba

Ubwa nyie 😀😀😀😀😀😀
 
Sometimes hua inachekesha ila ndiyo inakua imeshatokea. We did everything wrong kuanzia team selection na ideas za Arteta mpaka team kuanzisha mashambulizi na kwenda mbele.

Tulicheza dhidi ya united Martinelli alipata mpira akawa 1 v 1 against Dalot akiwa katikati ya uwanja, akafalse dribble mpaka usawa wa ball boy kisha akageuka akarudisha mpira nyuma. Quality kubwa ya Martinelli ni pace, Henry akasema wakati anacheza mpira akigewa pasi akajikuta usawa wa ball boy basi huyo beki atakua na kazi ya kumkamata.

Decent wingers do this. Martinelli used to do this. Kisha ghafla timu nzima ina ugonjwa mmoja, sideways passes na back passes. Ndiyo sababu Nwaneri anaonekana threat kwavile yeye akipata mpira anafight kwenda mbele.

Mitandaoni unaona baadhi ya mashabiki wanasema pengine hii blessing in disguise. Itaforce kusajili. Nikawaambia ni ngumu kupata decent signing in January, wakajenga hoja mbona Virgil alisajiliwa January? I never knew this but haitoi ishara yoyote kwetu.

Kwanza, Arteta anasema anataka afocus na solutions za ndani, jana was among the internal solutions, pili haamini kama kuna fursa nzuri sokoni.

City smashed Westham 4 - 1. Uchawi upo blah blah but City is 11 points from first position kama akimsajili Omar na Ederson mpaka February inakuja tutakua na title race mpya kabisa.

Seriousness ya Arsenal inabidi ireflect nje ya uwanja. Dirisha hili
 
Arteta katufikisha hapa, ni majonzi tu 5 years.
 
Arsenal ipo CL, ipo EFL, ipo FA na ni ya pili kwenye ligi.

Arsenal imepoteza michezo 2 mpaka muda huu.

Ngoja nitoe mfano.

Mume anaweza kua anacheat, na mke anajua kua mume wake anacheat. Na akajua siku hiyo mume yupo na huyo mchepuko roho itamuuma.

Ila mume akirudi akasema simu imevunjika na akaionyesha ilivyovunjika mke atachekelea. Wote tunajua simu kuvunjika haitazuia mume kuendelea kucheat, in fact inawezekana kesho yake tu mume akarudi tena kwa mchepuko. Ila mwanamke atafurahia hii simu kuvunjika ni kama anamaanisha hujatulia ndiyo maana simu imevunjika.

Kucheat ni biggest picture. Simu kuvunjika ni small picture. Hiki kitendo cha kufurahia simu kuvunjika ingawa ni small picture na haitavunja biggest picture kinaitwa 'Small Victories' kwa kawaida (psychologically) wanawake hua wepesi kushangilia small victories. Inahisiwa ni kwavile they feel powerless so inabidi wafurahie small victories.

Kama utaweza relate huu mfano na kinachoendelea you are welcome.
 
Twende taratibu tu mzee baba, February nimesema tutakua juu pale
You are delulu bro! Wote tunaipenda hii timu, ila daaaah mahaba yamekuzidi mzee.

IMG-20250104-WA0019.jpg
 
Nani ashangae wakati kila mmoja anajua chelsea ndo kwanza anajitafuta. Kuna kipindi chelsea akidraw watu tulikua tunashangaa lakini sio sasa.

Enzo ndo kwanza hana hata miezi 5 ndani ya chelsea lakini yupo fresh , bado anaitafuta top 4 , arteta huu msimu wake wangap pale arsenal?
Labda nikukumbushe tu arteta ni msimu wa 6 huu with zero major trophies .

Arsenal kwenye best form yenu hamna kombe lolote lakujivunia , chelsea kwenye best form anajivunia uefa 2 epl kibao na europa kibao .

Arsenal ana standard gani mzeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aah unajua nyinyi hili jukwaa mmelichukulia uwanja wa comedy nini?? Isije kuwa sisi kina flano na wengine tupo serious kumbe nyinyi wenzetu mmechukulia hapa ndo platform ya comedy nembu tuambiane mapema kabisa .
Enzo Maresca na Arne slot mazingira waliyoyakuta ni kwamba timu zilikuwa zimeshaundwa, Klopp aliiunda liverpool kabla ya kuondoka lkn pia liverpool walifanikiwa kuwabakisha wachezaji ambao ni all timer km Van dijk, Salah, Trent na beka, kwa upande wa The blues Boehly aliuunda chelsea kwa pesa nyingi, unaijua bei ya Mudyk, enzo fernandes au caicedo? hivyo ni sahihi kwa makocha hao kuonesha wanachokionesha regarding to their skillset.

kitu kingine liverpool imekuwa na bahati msimu huu, Man city ameregress sababu ya majeruhi na Arsenal pia tunakumbwa na majeruhi na maamuzi mabovu ya marefarii, so ni km liverpool hana mpinzani, in the middle of rebuild tumekuwa kwenye upinzani na the peak City/ Pep ambayo Bayern & Madrid wanapigwa km watoto, sio rahisi kushindana na Guardiola akiwa kwenye ubora wake, watu wa liverpool wanajua, ila kwa shabiki wa Newcastle huwezi kuelewa.
 
yule shabiki wa newcastle najua ni mamluki la Unyumbu, labda nikuulize, Eddie howe ana mpango gani na Newcastle, kuchukua ubingwa, kwenda uefa au nini? ana muda gani na malengo yake ni yapi au amepata nini?

Eddie howe aliishusha Bournemouth daraja, akaenda kujifunza namna ya ku defend kwa Diego simeon, intensity, profiling hata oop structure, lkn amepata nini kwa muda aliokaa Newcastle?
 
Kuwa Serious mkuu, Kweli mna majeraha kuzidi timu nyingine!!??

L'Pool akianza ligi CF wake alikuwa Jota akapata Majeraha, TAA, Diaz, Konate, Allison hawa wote wamekuwa wakipishana kwenye Infirmary,

CITY wamekuwa wakiwakosa kwa awamu KDB, Rodri, Stones, Ederson, Kovacic, Dias na wana msimu mbovu zaidi wa PEP tangu aanze fundisha lakini mpaka sasa mnawaacha Pointi 6 tu,

Arsenal "Big miss" ni Saka + White hawa kina Calafiori ni sajili mpya kwa back 4 ya Arsenal ilikuwa imeshatimia, Gabi nae kwa muda pia. Kwa nini nyie tu ndo muongelee majeraha kama timu zingine hazipati?? .

Unazungumzia maamuzi ya Waamuzi kama hakuna namna yanawabebaga!
Kwa nini hutaki zungumzia "PERFORMANCE" Ya timu kuwa ya Hovyo!? Kwa nini hutaki zungumzia "EGO" ya mwalimu wenu kuwaweka wachezaji nafasi ambazo hawakupi "The Best" kulingana na uwezo wao?? Kuna namna hamtaki mnyooshea Mikel Arteta kidole lakini mtakuja shtuka mkiwa mmechelewa sana.
 
yule shabiki wa newcastle najua ni mamluki la Unyumbu, labda nikuulize, Eddie howe ana mpango gani na Newcastle, kuchukua ubingwa, kwenda uefa au nini? ana muda gani na malengo yake ni yapi au amepata nini?

Eddie howe aliishusha Bournemouth daraja, akaenda kujifunza namna ya ku defend kwa Diego simeon, intensity, profiling hata oop structure, lkn amepata nini kwa muda aliokaa Newcastle?

Mimi nilikua false hoper kama wewe lakini mwisho wa siki nikaona hapana false hopes for almost 20 years inatosha.
Eddie howe kaikuta newcastle nafasi ya 17 relegation zone akaitoa mpaka nafasi ya 11 first season, second season akaipeleka top 4 season iloyofuata.
Eddie howe ndo kwanza huu ndo mwaka wake wa 3 usifananishe na teta lenu lenye miaka 6 ndani ya team halafu hela kibao limetumia linakuja kutegemea magoli ya kona .

Newcastle imejipata kwenye kipindi ambacho kuna mambo mengi si kama zamani man city saivi kuna FFP so usajili lazima uende slow.

Tunachotafuta kwa sasa ni world classic defender maana tayari tuna world classic midfilder na world classic striker then baada ya hapo tuanze rasmi mbio za ubingwa haitachukua miaka 21 + kama nyinyi kupata ubingwa soon rather than later tutakua epl champion wakati nyinyi mkiendelea na msoto, maana ngoma yenu itatembea mpaka 2050 without epl au unabisha ?? [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom