Enzo Maresca na Arne slot mazingira waliyoyakuta ni kwamba timu zilikuwa zimeshaundwa, Klopp aliiunda liverpool kabla ya kuondoka lkn pia liverpool walifanikiwa kuwabakisha wachezaji ambao ni all timer km Van dijk, Salah, Trent na beka, kwa upande wa The blues Boehly aliuunda chelsea kwa pesa nyingi, unaijua bei ya Mudyk, enzo fernandes au caicedo? hivyo ni sahihi kwa makocha hao kuonesha wanachokionesha regarding to their skillset.
kitu kingine liverpool imekuwa na bahati msimu huu, Man city ameregress sababu ya majeruhi na Arsenal pia tunakumbwa na majeruhi na maamuzi mabovu ya marefarii, so ni km liverpool hana mpinzani, in the middle of rebuild tumekuwa kwenye upinzani na the peak City/ Pep ambayo Bayern & Madrid wanapigwa km watoto, sio rahisi kushindana na Guardiola akiwa kwenye ubora wake, watu wa liverpool wanajua, ila kwa shabiki wa Newcastle huwezi kuelewa.