Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kila muda anatusuprise sana na selection zake😀.. Kama Merino na Rice wameanza sikuona sababu ya kuanza Jorginho. Ukiwa na Jorginho ndani utegemee timu kuwa slow na muda wowote tegemea makosa ya kuigharimu timu.
Hapo anasubiri goli lichomolewe ndio amuinue Odegaard benchi
 
Jorginho hakupi ulinzi. Hii ni observable tangu zamani hawezi kuanza leo.

Mchezaji ana chance ya kusonga mbele anafanya u turn anarudisha mpira nyuma.

Ujinga all over
 
Sporting CP ili kukabiliana na kona walikua wanaacha wachezaji watatu mbele ili kutishia counter.

Hii inafanya idadi ya wachezaji wa kwenye boksi ipungue na kupunguza kusukumana

Brighton are about to perfect this.
 
We don't deserve to be champion... No hungry on this team. Kuna muda unaona mchezaji ana nafasi ya kupeleka mpira mbele lakini anafanya turn over mpaka unajiuliza anafikiria nini.
 
Back
Top Bottom