Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nachofurahia false hopers mkipigwa akili zinawakaa sawa kama dakika 10 then mnarudi kwenye hali yenu ya ufalse hope.

Mlivyoshinda na brentford tuliwaambia mmeshinda kwa papatupapatu mkaona hatuwapendi unaona kabisa magoli yanatokea tu no chance created game kama 5 tuliwaambia ila mkaona kama tunawachukia .

Mpaka sasa st james tuliwapiga 1:0 , emirates tumewapiga 2:0 mnakuja tena st james tunawapiga 3:0 then tunarudi ligi Emirates tunawapiga 4:0 .

Kuna kipindi niliwaambia pale arsenal hakuna mchezaji kama gordon tu ukiachana na kina bruno na isak mkaanza kumfananisha martineli na gordon [emoji23][emoji23] mara trossard mpaka stats tukaleta hapa .

Ivi mbona zamani mlikua mnapiga mpira na mwanangu zincheko kama inverted midfielder ile mbinu yenu mmeacha nini? Naona mmeamia kwenye cΓ³rner na kila team ishashtuka .
 
Sasa hawa mijusi akina Labyrinth wanatupiga kwetu, kwao tutawaweza kweli?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huna team mkuu. Hivi hii ni phase ngap vile tukumbushane ?

Nimekupiga kotekote tayari , huwezi nifunga kwa wachezaji wanakimbia wanaangalia chini au mchezaji mrefu kama mrusha mishale olyimpic [emoji23][emoji23][emoji23].

Ile nafasi ya 2 kwenye league naitaka maana nyinyi mtampa ubingwa mapema sana liverpool, bora tukae pale sisi au forest kidogo tutaonyesha upinzani
 
Kuna viazi humu wanafikiri Arsenal haifungiki, wakati kocha uwezo mdogo. ikifungwa lawama zitapelekwa kwa refa au visingizio majeruhi y wachezaji. Haya mmefungwa tena kisingizio ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…