Arsenal (The Gunners) | Special Thread

hawa wapigaji wenye kigugumizi mara nyingi penat huchezwa. Fundi jorginho yupo unamuachaje.

Ufala tu
 
Odegaard nae kaenda kupiga ile penalty kwa haraka na papara mno. Hata hajampa nafasi kipa ya kupanic
 
Baadhi ya mashabiki wa arsenal wakisikika waki-shout "aingie onana, tunamtaka onana"
 
Sio kukosa penalty tu huyo refa avuliwe tu jezi ya orange apewe jezi nyeupe ya Arsenyo ijulikane tu leo uwanjani mpo 12.
Hii mechi pamoja na kubebwa kwenu kwa hayo magoli ya wazi mnayokosa kuna possibility kubwa mnaenda kuipoteza.
Hii mnalala mzee, achana na kuwa mnatimu mbovu, kingine mnagundu wazee[emoji1]

Arsenal hajawai kushinda na hii mijez miuepe
 
Sio kukosa penalty tu huyo refa avuliwe tu hio jezi ya orange apewe jezi nyeupe ya Arsenyo ijulikane tu leo uwanjani mpo 12.
Hii mechi pamoja na kubebwa kwenu kwa hayo magoli ya wazi mnayokosa kuna possibility kubwa mnaenda kuipoteza.
Refa kawabeba sana nyie nyumbuz. Mpaka sasa tulitakiwa tuwe tunacheza na wachezaji wenu tisa au nane uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…