Bro tatizo la Arsenal ni zaidi ya Striker. Of course tunahitaji Striker lakini Nafikiri ni mentality zaidi. Kukosa ubingwa muda mrefu Arsenal imewafanya kuwa na mentality ya uoga sana hasa kwenye mechi zilizo na pressure. Roho ya upambanaji hawana ni waoga wa mechi sana hasa timu ambazo hatuna historia nazo nzuri uwanjani. Ukweli ni kwamba wachezaji wetu hawajui kucheza mechi hasa zinazoamua mustakabali wa nafasi yao katika kutafuta ubingwa. Liverpool hao hapo hawana striker wa maana lakini unaona spirit ipo na hata ukiangalia kikosi Chao ni kawaida tu.. It's all about mentality.. Rodrigo hakukosea