Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyie Kima mnalala mpaka muda huu kwa raha gani hasa mliyo nayo?
Amkeni muoshe vyombo mbuzi nyie.
 
Kuna idea ipo kwa mashabiki mtaani na humu pia, ikiongozwa na hamis77 kwamba Arteta is IRREPLACEABLE.
Baada ya game la Jana, kama kawaida mabishani yakaanza kwa mashabiki.

Kundi linasema Arteta aliwe kichwa, kundi linasema abaki.

Hawa wanaosema abaki, wanadai sokoni hakuna kocha mwenye uwezo kumzidi Arteta. Wanadai Arsenal ikimwacha tuu Arteta, basi moja kwa moja Real Madrid. Wakaongeza issue ya majeruhi

Wanaosema aliwe kichwa, wakijaribu kuelezea muda alokuwepo klabuni, five years na kufeli kwake kuleta makombe ya maana klabuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…