Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nyie KENGE, kuna mchezaji wenu ana hatrick?
 
Attachments

  • Screenshot_20250117_005745_FotMob.jpg
    Screenshot_20250117_005745_FotMob.jpg
    99.3 KB · Views: 1
Kama umewahi kumuangalia Busquet na ukasema ni mid mzuri hakuna namna Partey utamuona hovyo.

Same profile. Muachia namba 6 anakuchezeshea timu vizuri tu.

Sasa huyo Zubimendi ni Busquet mwingine, so siyo mbaya kama tutampata akiwa kwenye prime.

Ila sisi hatutengenezi chances? Shida ni chances au shida ni kuscore? So who do we really need?
Yaani nyie ni vigeu geu, mkisikia mchezaji mnamtaka huwa mnampamba akiwakataa mnaanza kumponda na kumuwekea vinyongo.

Nakumbuka huyo huyo Zubambendi mlishampamba kipindi kile mnamtaka sijui ikawaje,cjui aliwakataa? aisee mlimponda balaa. Sahivi mmeanza tena kumpamba, nyie mashabiki wa Arsenal kuna sehemu nyaya zimechunika.
 
Nimejichanganya. Nilikuwa namfikiria Gyokeres na kuwa atataka kumfuata Amorim.

Sesko atatufaa? Angalau siyo Kai 😄😄
Huyu Sesko kwangu namchukulia kama Gabriel Jesus. Reliant wa skills na tech kuliko mwili na nguvu, so hatokua goal machine ambayo mashabiki tunatamani awe kwa kumuangalia Gyokeres ila atakua anascore na wakati mwingine kushiriki kuzipita defense
 
Yaani nyie ni vigeu geu, mkisikia mchezaji mnamtaka huwa mnampamba akiwakataa mnaanza kumponda na kumuwekea vinyongo.

Nakumbuka huyo huyo Zubambendi mlishampamba kipindi kile mnamtaka sijui ikawaje,cjui aliwakataa? aisee mlimponda balaa. Sahivi mmeanza tena kumpamba, nyie mashabiki wa Arsenal kuna sehemu nyaya zimechunika.
Usiwe unajumuisha.

Sema fulani ni kigeugeu. Mashabiki wa Arsenal hatujuani kila mtu ana tabia zake binafsi, kama umemuona kigeugeu, mpole, mwizi, mwema ni tabia ya huyo uliyemuona siyo ya Arsenal wote.

So, mtaje hapa ambaye aliwahi kumsifia Zubimendi halafu alivyoona amegoma kuja akaanza kusema vingine.
 
Ila nahisi uongo. Sesko akija atakua hachezi CL sasa wa nini?
Mkuu, nadhani hii mara ya tatu naona ukiandika kuhusiana na mchezaji kutoweza cheza timu mbili tofauti ndani ya msimu mmoja UCL.

Hili lilifanyiwa marekebisho 2019 kama sijasahau. So Sesko akitua now (which is very unlikely kwa Arsenal yetu) anakipiga freshi tuuu

Case study, Diaz Porto to Liverpool, Haaland Salzburg to Dortmund.
 
Anhaa sikua aware na hii ishu ya marekebisho.

Kama hizi ripoti zikiwa confirmed na ni za ukweli tutakua tumepiga hatua kwenye kurekebisha swala la finishing
 
Huyu Sesko kwangu namchukulia kama Gabriel Jesus. Reliant wa skills na tech kuliko mwili na nguvu, so hatokua goal machine ambayo mashabiki tunatamani awe kwa kumuangalia Gyokeres ila atakua anascore na wakati mwingine kushiriki kuzipita defense
Ni mchapa kazi? Ukiwa kocha wewe itampanga mbele ya Jesus au mbele ya Kai?
 
Usiwe unajumuisha.

Sema fulani ni kigeugeu. Mashabiki wa Arsenal hatujuani kila mtu ana tabia zake binafsi, kama umemuona kigeugeu, mpole, mwizi, mwema ni tabia ya huyo uliyemuona siyo ya Arsenal wote.

So, mtaje hapa ambaye aliwahi kumsifia Zubimendi halafu alivyoona amegoma kuja akaanza kusema vingine.
Ni vile sio mtaalamu wa kuzitafuta old comments, hata huyo Gyokeres alishapondwa sana hapa nahis pia baada ya kukataa kuhama.
 
Ni vile sio mtaalamu wa kuzitafuta old comments, hata huyo Gyokeres alishapondwa sana hapa nahis pia baada ya kukataa kuhama.
Yaani achana na mambo ya alishapondwa. Mtaje aliyemponda kisha akamsifia. You can't go around throwing smoke hata kwa watu isiyowahusu
 
Uzuri wa Calafiori na White ni kwamba ni ma CB. Ukitaka kuwapumzisha Gabriel na Saliba au ukiwakosa, una back up. Tomiyasu ni majeruhi kila wakati ila kuna yeye na Kiwior pia.
True but Timber alikaa LB and he was so good. Same na White akiwa RB.

Calafiori attitude yake ni risk. Akilearn kuiacha siyo mbaya, but when? With his attitude ukimuweka CB ghafla ghafla si anaweza kusababisha makosa.
So White karudi unajiuliza umuweke wapi Myles coz obviously Timber inabidi arudi LB.

After unabaki na Calafiori na Myles nani atampisha mwenzie? Tomiyasu akiwa fit pia unabaki na defense ambayo inaweza pata namba timu yoyote ambayo siyo regular starter kwako
 
Back
Top Bottom