Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Kwani nani kasema Arsenal anajenga timu?Sema umeelewa bana
We jibu hapo, misimu zaidi ya 5 unajenga nini wazee wa next season?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nani kasema Arsenal anajenga timu?Sema umeelewa bana
We jibu hapo, misimu zaidi ya 5 unajenga nini wazee wa next season?
Unaweza usiseme , ila usipofikia lengo kwa muda mrefu inakuwa hivyo tu.Kwani nani kasema Arsenal anajenga timu?
Makocha wangapi wamekuja kuijenga united? Unahisi nini kitakua tofauti kwa huyu anayetembea na nyinyi nafasi ya 12, 13 na 14?Unaweza usiseme , ila usipofikia lengo kwa muda mrefu inakuwa hivyo tu.
Uongozi mpya mzee na kocha mpyaMakocha wangapi wamekuja kuijenga united? Unahisi nini kitakua tofauti kwa huyu anayetembea na nyinyi nafasi ya 12, 13 na 14?
Mimi kwangu angemchukua Duran jamaa ni goalmachine afu powerful hana mbwembwe afu miaka 21 mshahara bado mdogoAnhaa sikua aware na hii ishu ya marekebisho.
Kama hizi ripoti zikiwa confirmed na ni za ukweli tutakua tumepiga hatua kwenye kurekebisha swala la finishing
Hapa unazungumzia kuanzia Van Gaal si ndiyo?Uongozi mpya mzee na kocha mpya
MIaka yote hiyo hatukuwahi kuwa playing style.
Nilichopenda kwa arteta ni ku stick to the plan
Ndicho anachofany amorim
Makocha wote hakuna hata mmoja alie stick na falsafa zake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mashabiki wa Arsenyo ni kama Samaki tu, mmoja akioza basi tenga lote ni la kutupa.Usiwe unajumuisha.
Sema fulani ni kigeugeu. Mashabiki wa Arsenal hatujuani kila mtu ana tabia zake binafsi, kama umemuona kigeugeu, mpole, mwizi, mwema ni tabia ya huyo uliyemuona siyo ya Arsenal wote.
So, mtaje hapa ambaye aliwahi kumsifia Zubimendi halafu alivyoona amegoma kuja akaanza kusema vingine.
I think yeye na Jesus wanaweza partner up vizuri kwakua wote hawaogopi kulifuata box na wapo vizuri kwenye 1, 2.
So hata transition inakua rahisi wakiwa pamoja.
Obviously mbele ya Kai.
True but Timber alikaa LB and he was so good. Same na White akiwa RB.
Calafiori attitude yake ni risk. Akilearn kuiacha siyo mbaya, but when? With his attitude ukimuweka CB ghafla ghafla si anaweza kusababisha makosa.
So White karudi unajiuliza umuweke wapi Myles coz obviously Timber inabidi arudi LB.
After unabaki na Calafiori na Myles nani atampisha mwenzie? Tomiyasu akiwa fit pia unabaki na defense ambayo inaweza pata namba timu yoyote ambayo siyo regular starter kwako
Kama ni kudumisha endency ya kutumia ST mmoja Sesko ataanza.Sisi si huwa tunapenda central striker mmoja, awe na Saka na Martinelli pembeni na kina Ode nyuma yake? So utamuweka Sesko aanze halafu Jesus akae bench?
Calafiori mzuri kucarry.Calafiori position ya LCB ndiyo imempa kazi Arsenal. Na yeye si huwa anapanda na kucarry kwa sana? Nadhani anafaa kwa timu zinazopaki basi ila anahitaji mtulivu kama Saliba awepo nyuma yake. Changamoto yake kubwa zaidi ya aggression yake ni kukosa mbio za kutosha kukimbizana na attackers wa EPL. Discipline ya ukabaji inafundishika na inakuja tu. Timber mwenyewe yuko aggressive sana ila aggression yake ina akili.
Ila kweli, Ben White akiwa fully fit na kwenye form, namuweka RB na Timber namuweka LB. Kwa sasa kwa kweli sitabadilisha back 4, yaani Timber RB na Lewis-Skelly LB huku katikati Gabi na Saliba kama kawa.
Lewis-Skelly ni midfielder (LCM nadhani) alijikuta LB kwa sababu ya majeruhi tulonao ila nadhani mpango ni akija Zubimendi, basi Zubimendi atakuwa anapambania nafasi ya Partey na Rice huku Lewis-Skelly akipambania LCM na Merino/Rice.
Hamna mnunuaji hapo.Tumeanza uswahili wa loans deal
Unauliza bikira leba ?Hivi Bkayo Saka amewahi kufunga hat trick ya EPL ndani ya dakika 12 gunners wenzangu?
Ukikuta wanavyomsifia sasa!Unauliza bikira leba ?