Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Haaland kugewa mkataba wa miaka 9 nafikiri inamaanisha City haitashushwa daraja
 
Leo nina ka intaneti kidogo ngoja nitafute muda wa kupost vitu vizuri vizuri vya Ze Ganaz maana Hamisi ametokomea wapi sijui...Mkorea naye amebanwa sana na majikumuu...
Mzee tupo sana ila kwa kuibia ibia, tusipokua makini arteta na kai wake watatuvua nguo msimu huu tena

Sasa naanza kuelewa kwanini hamis77 huwa anakimbia kwa muda jukwaa
Anyway aston villa tutamkanda 3 kavu
 
1737204344378.png
 
Tulipoint tunahitaji ST tukajibiwa mbona tunaye.

Games za kipuuzi unaziangalia na unaona anayeleta tofauti kwenye hiyo game ni ST tu. Newcastle anafungwa nne tatu zinatokea kwa ST.

Spain waliwahi kushinda kombe la dunia bila ST. But ile ni tournament na siyo ligi ya games 38.
 
Mzee tupo sana ila kwa kuibia ibia, tusipokua makini arteta na kai wake watatuvua nguo msimu huu tena

Sasa naanza kuelewa kwanini hamis77 huwa anakimbia kwa muda jukwaa
Anyway aston villa tutamkanda 3 kavu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii comment imenifanya nicheke sana na nimerudia kuisoma tena na tena.
Hatimae leo chawa mtiifu amekubali kua kiazi Kai na kocha wake Tetea hua wanawavua nguo kila msimu.
Masingeli hajalikimbia hili jukwaa kwa kupenda kwakwe, hivyo viazi viwili ulivyo vitaja ndio vimepelekea hili jukwaa Masingeli ameliona chungu.
Anyway mmeona leo Bournemouth walivyowafundisha namna ya kuwafunga wale Pundamilia nyumbani kwao?
Nyinyi Arsenyau mna wachezaji wenye kaliba ya Kluivert ili muweze kuwafunga Newcastle na kusonga mbele kwenye michuano ya Carabao au ndio mnamtegemea Harvez awavushe?
Newcastle vs Bournemouth ilikua ni bonge moja la game kwa wale waliofanikiwa kuitazama hii mechi.
 
Still favourite game against Villa inakua ambayo wanaanza kuscore dakika ya tano tu.

Ilikua game nzuri. Kuna mbuzi walikua wametanda humu ghafla wote wakayayuka
 
Kumbe Labyrinth na mijusi milia wake wamepigwa kwao leo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii ligi ni ya kiume sana, kila mbabe hua ana mbabe wake.
Bournemouth hua anamsumbuaga sana Newcastle ila hiki kipigo cha leo kilikua ni kipigo kitakatifu.
1737213765269.jpg
 
Arteta ana akili ya ajabu sana

Tayari tumeshashindwa kusecure points tatu mara nyingi Partey akiwa RB ila haelewi.

Liva anawinda points tatu kwa nguvu anafanya subs kadri anavyoweza. And this is what we respond with
 
Back
Top Bottom