Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
3 big chances
3 big chances missed
Goli la Trossard ni aina ya goli analokupa striker constantly.
Ni kweli ni miongoni mwa timu tunacreate big chances nyingi. Ni kweli pia kwamba ni miongoni mwa timu tumescore magoli mengi.
Lakini ikiwa tunahitaji ushindi tunahitaji ST ambaye anaweza kutubail out tunapocheza na timu ambazo unadominate kila kitu ila unakosa tu mtu wa kupasia neti au kuvurumisha shuti kwenye impossible angle na likawa goli.
Current squad haiko vizuri mbele ya goli. Kuna mtu alitoa hoja tunamhitaji Bruno au Kevin lakini sisi shida siyo domination au chances sisi shida ni kuscore.
Bruno huko alipo anafanya nini ambacho akikileta Arsenal kitaiimarisha Arsenal? Kwa Kevin unaweza sema ni shot taker mzuri nje ya box, zaidi ya hapo nini kingine?
Nyumbu ni timu inayoongoza kupiga mashuti nje ya box EPL hii ni kwakua nyumbu hawana uwezo wa kuzivunja defense na kucheza ndani ya box la kipa. Hii ndiyo sababu pia Hojlund kwa nyumbu anakua ni mwana mpotevu.
Arteta anaamini majeruhi wakirudi watairudisha timu in the right track. Tatizo ni kwamba at the moment tutadrop points unnecessarily
Ninachojua liverpool atadondosha point sana,na nafasi ya ubingwa iko free kwa wote,shida ni yetu je tutaweza kufunga magoli kwenye nafasi kumi tunafunga 1Two goals in a matter of minutes. Funny enough anascore ST anayechukuliwa ni flop
Sisi nao bado hatuna guaranteeNinachojua liverpool atadondosha point sana,na nafasi ya ubingwa iko free kwa wote,shida ni yetu je tutaweza kufunga magoli kwenye nafasi kumi tunafunga 1
Sasa Usimalize maneno ww security guard, mchawi alikua city huyu liverpunda uwezo kumkamata tunao[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii comment imenifanya nicheke sana na nimerudia kuisoma tena na tena.
Hatimae leo chawa mtiifu amekubali kua kiazi Kai na kocha wake Tetea hua wanawavua nguo kila msimu.
Masingeli hajalikimbia hili jukwaa kwa kupenda kwakwe, hivyo viazi viwili ulivyo vitaja ndio vimepelekea hili jukwaa Masingeli ameliona chungu.
Anyway mmeona leo Bournemouth walivyowafundisha namna ya kuwafunga wale Pundamilia nyumbani kwao?
Nyinyi Arsenyau mna wachezaji wenye kaliba ya Kluivert ili muweze kuwafunga Newcastle na kusonga mbele kwenye michuano ya Carabao au ndio mnamtegemea Harvez awavushe?
Newcastle vs Bournemouth ilikua ni bonge moja la game kwa wale waliofanikiwa kuitazama hii mechi.
Mbona tunacheza vizuri, ukilinganisha na mpinzani tunaecheza nae na kikosi kilichopoWe have lost our identity
Mkuu naomba live streaming mkuu ya game letuDuh Martinez ana hasira na sisi