Nimejichanganya. Nilikuwa namfikiria Gyokeres na kuwa atataka kumfuata Amorim.Gyokeres na mreno mmoja jina limenitoka ndiyo niliona kahusishwa sana na nyumbu. Sesko niliona ni Arsenal tu
Yaani nyie ni vigeu geu, mkisikia mchezaji mnamtaka huwa mnampamba akiwakataa mnaanza kumponda na kumuwekea vinyongo.Kama umewahi kumuangalia Busquet na ukasema ni mid mzuri hakuna namna Partey utamuona hovyo.
Same profile. Muachia namba 6 anakuchezeshea timu vizuri tu.
Sasa huyo Zubimendi ni Busquet mwingine, so siyo mbaya kama tutampata akiwa kwenye prime.
Ila sisi hatutengenezi chances? Shida ni chances au shida ni kuscore? So who do we really need?
Huyu Sesko kwangu namchukulia kama Gabriel Jesus. Reliant wa skills na tech kuliko mwili na nguvu, so hatokua goal machine ambayo mashabiki tunatamani awe kwa kumuangalia Gyokeres ila atakua anascore na wakati mwingine kushiriki kuzipita defenseNimejichanganya. Nilikuwa namfikiria Gyokeres na kuwa atataka kumfuata Amorim.
Sesko atatufaa? Angalau siyo Kai ππ
Usiwe unajumuisha.Yaani nyie ni vigeu geu, mkisikia mchezaji mnamtaka huwa mnampamba akiwakataa mnaanza kumponda na kumuwekea vinyongo.
Nakumbuka huyo huyo Zubambendi mlishampamba kipindi kile mnamtaka sijui ikawaje,cjui aliwakataa? aisee mlimponda balaa. Sahivi mmeanza tena kumpamba, nyie mashabiki wa Arsenal kuna sehemu nyaya zimechunika.
Aaaaand you made it to 12th. Kisha next game mna Brighton mnarudi tena pale pale.Nyie KENGE, kuna mchezaji wenu ana hatrick?
Mkuu, nadhani hii mara ya tatu naona ukiandika kuhusiana na mchezaji kutoweza cheza timu mbili tofauti ndani ya msimu mmoja UCL.Ila nahisi uongo. Sesko akija atakua hachezi CL sasa wa nini?
Anhaa sikua aware na hii ishu ya marekebisho.Mkuu, nadhani hii mara ya tatu naona ukiandika kuhusiana na mchezaji kutoweza cheza timu mbili tofauti ndani ya msimu mmoja UCL.
Hili lilifanyiwa marekebisho 2019 kama sijasahau. So Sesko akitua now (which is very unlikely kwa Arsenal yetu) anakipiga freshi tuuu
Case study, Diaz Porto to Liverpool, Haaland Salzburg to Dortmund.
Uzuri wa Calafiori na White ni kwamba ni ma CB. Ukitaka kuwapumzisha Gabriel na Saliba au ukiwakosa, una back up. Tomiyasu ni majeruhi kila wakati ila kuna yeye na Kiwior pia.Calafiori asipokaa vizuri namba hana.
Sasa White akirudi π
Ni mchapa kazi? Ukiwa kocha wewe itampanga mbele ya Jesus au mbele ya Kai?Huyu Sesko kwangu namchukulia kama Gabriel Jesus. Reliant wa skills na tech kuliko mwili na nguvu, so hatokua goal machine ambayo mashabiki tunatamani awe kwa kumuangalia Gyokeres ila atakua anascore na wakati mwingine kushiriki kuzipita defense
Ni vile sio mtaalamu wa kuzitafuta old comments, hata huyo Gyokeres alishapondwa sana hapa nahis pia baada ya kukataa kuhama.Usiwe unajumuisha.
Sema fulani ni kigeugeu. Mashabiki wa Arsenal hatujuani kila mtu ana tabia zake binafsi, kama umemuona kigeugeu, mpole, mwizi, mwema ni tabia ya huyo uliyemuona siyo ya Arsenal wote.
So, mtaje hapa ambaye aliwahi kumsifia Zubimendi halafu alivyoona amegoma kuja akaanza kusema vingine.
Bado hujasemaHivi hakuna mbadala wa Sterling.. Miyayusho sana huyu
Watu walikuwa wanasema ni one season wonder.Ni vile sio mtaalamu wa kuzitafuta old comments, hata huyo Gyokeres alishapondwa sana hapa nahis pia baada ya kukataa kuhama.
New coachAaaaand you made it to 12th. Kisha next game mna Brighton mnarudi tena pale pale.
View attachment 3204067
New coach ndiyo nini sasa? Au hujui unachotaka kusema?New coach
Sasa wewe kocha yule yule, misimu 6 saivi mnajenga nini?π
Yaani achana na mambo ya alishapondwa. Mtaje aliyemponda kisha akamsifia. You can't go around throwing smoke hata kwa watu isiyowahusuNi vile sio mtaalamu wa kuzitafuta old comments, hata huyo Gyokeres alishapondwa sana hapa nahis pia baada ya kukataa kuhama.
I think yeye na Jesus wanaweza partner up vizuri kwakua wote hawaogopi kulifuata box na wapo vizuri kwenye 1, 2.Ni mchapa kazi? Ukiwa kocha wewe itampanga mbele ya Jesus au mbele ya Kai?
Sema umeelewa banaNew coach ndiyo nini sasa? Au hujui unachotaka kusema?
True but Timber alikaa LB and he was so good. Same na White akiwa RB.Uzuri wa Calafiori na White ni kwamba ni ma CB. Ukitaka kuwapumzisha Gabriel na Saliba au ukiwakosa, una back up. Tomiyasu ni majeruhi kila wakati ila kuna yeye na Kiwior pia.