Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hayo mambo yatakaa sawa tu brother. Chances zikizaa magoli mengi, wengi wetu wala hatutaona hizi shida .😀😀😀 fans si unatujuaaa
 
Bado hamjasema, hata nafasi ya nne mtaisikia kwenye bomba msimu huu.
Kwa kuzingatia msimu mbovu wa Everton nilikua naamini atapigwa na Spurs, kisha yeyote kati ya palace na hammers anashinda.

Kwa kua nilishajua hampindui kwa Brighton ndiyo nikasema baada ya games mbili mnashuka nafasi ya 17.

Kama Spurs angeshinda leo mngekua nafasi ya 15. Halafu next game ndiyo mnashuka hadi nafasi ya 17.

Siyo mbaya. Ni mnajichelewesha ila lazima mfike nafasi ya 17
 
Yaani kati ya watu wote tulioangalia mpira akiwemo arteta na benchi zima la ufundi la arsenal tumekubali kweli mpira uligusa mkono kabla haujabadilisha uelekeo, ila wewe peke yako umeona umegonga tumbo!

Hata hivyo mkono wa Havertz haukuwa kwenye natural position mkuu.
 
Wote hamkuangalia vizuri na kwa utulivu kama mimi 😀😀
 
Watkins anasema kukataa goli ilikua harsh decision.

Watkins ni ST wa Villa
 
Yaani kati ya watu wote tulioangalia mpira akiwemo arteta na benchi zima la ufundi la arsenal tumekubali kweli mpira uligusa mkono kabla haujabadilisha uelekeo, ila wewe peke yako umeona umegonga tumbo!

Hata hivyo mkono wa Havertz haukuwa kwenye natural position mkuu.
 
Katika misemo ya hovyo kabisa iliwahi kutokea mmoja wapo ni huu 'Trust the process'
 
Kwenye benchi alikuwepo Tierney, Kiwior na Zinchenko.
 
Hivi Arsenal huwa mnajichukulia kama timu kubwa au timu mashuhuri pale Uingereza?

Maana haijulikani mnachogembea ni kitu gani zaidi ya miaka 20 na zaidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…