Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal sas hivi kuiangalia hadi inachosha.

Wolves wako very open, with a lot of mistakes but still tunashindwa kufunga.
 
RED CAAAAARD

Pambaf zenu. Na leo mnakalia mti tena.
 
Nafikiri hii red imekuja kutokana na DOGSO lakini sioni ni kivipi ile inatakiwa iwe red card kwakua kwa distance ya Wolves hadi golini kwa Arsenal ni vipi inaweza kujihakikishia lile litakua goli?

Mchezaji mmoja akikosekana kwa Arsenal inakua msiba kwakua tunacheza kwa pattern, hata mchezaji wetu mwenye speed akipata mpira anasubiri wenzake waje wakamilishe pattern.

Ndiyo maana unashangaa hadi tunaenda mbele tunakuta wapinzani wameshajipanga. So akimiss mmoja tatizo linaongezeka.
 
Sub za maana nje ni calafiori, zin na kiwior

Arteta inabidi aje na plan B
 
Colombia vichezaji vijinga kama hiki, vinapigwa risasi
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ hapana bwana. Hata yule aliyepigwa enzi zile haikuwa kwa sababu ya kujifunga bali kwa sababu ya madawa ya kulevya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…