Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

RED CAAAAARD

Pambaf zenu. Na leo mnakalia mti tena.
 
Nafikiri hii red imekuja kutokana na DOGSO lakini sioni ni kivipi ile inatakiwa iwe red card kwakua kwa distance ya Wolves hadi golini kwa Arsenal ni vipi inaweza kujihakikishia lile litakua goli?

Mchezaji mmoja akikosekana kwa Arsenal inakua msiba kwakua tunacheza kwa pattern, hata mchezaji wetu mwenye speed akipata mpira anasubiri wenzake waje wakamilishe pattern.

Ndiyo maana unashangaa hadi tunaenda mbele tunakuta wapinzani wameshajipanga. So akimiss mmoja tatizo linaongezeka.
 
Sub za maana nje ni calafiori, zin na kiwior

Arteta inabidi aje na plan B
 
Back
Top Bottom