Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

😹😹 Tatizo watu wa group O waongo waongo sana, Maka hii ntakudai nakwambia mpk utatoa hiyo jersey.!!
Oya, haina uongo, mie sio kama wewe, USIETAKA jambo letu lile la GROUP O. 😂

jezi utapata hili lishapitishwa. Subiri jezi za msimu mpya zitangazwe upate uzi wako.
 
😹😹😹
Si kautaka mwenyewe, huyo
Kawaletea wahuni shobo, huyo
Si' kwetu hatumli kwa macho, huyo
Si kautaka umaarufu, huyo
Oya, mwanangu Kai peleka moto! 🤣
Hizo ndio ngoma zenu😂, mie nasikiliza MSONDO NGOMA saa hizi.
 
Oya, haina uongo, mie sio kama wewe, USIETAKA jambo letu lile la GROUP O. 😂

jezi utapata hili lishapitishwa. Subiri jezi za msimu mpya zitangazwe upate uzi wako.
Oyoooooo 😻
Maka ake huyo..!!
Jersey nnayo na natamba nayo..!! 🤸‍♀️
 
Oyoooooo 😻
Maka ake huyo..!!
Jersey nnayo na natamba nayo..!! 🤸‍♀️

ile ujue group O wanatuhitaji, inabidi tupambanie ukoo wetu, inabidi tuongeze familia ya group O, lifikiri kwa kina Lamomy
 
😂🤣
Hapana, napambania ukoo wetu wa group O, ukoo unateketea, watu wanaadimika, lazima sisi tusimame kidete ukoo uishi milele na milele.
Au sio 😹
Maka muhuni muhuni sana wewe..!!
Yani wewe umefoward unataka mpk mtoto moja kwa moja 🤣
 
No ST signed.

Hesabu ni zile zile za kusubiri majeruhi warudi.
 
Back
Top Bottom