Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tumekuja mkuu🤣🤣🤣....Arteta aandikiwe barua rasmi ailazimishe bodi imuongezee Partey mikazo mkataba wa miaka 2 na option ya mwaka mmoja....yule jamaa akiondoka tutamkumbuka sana
Hata 3 sawa, ila wasifanye ujinga kumuacha. Unaonekana msimu huu ule mzimu wake wa majeraha unampitia mbali kidogo. God forbid.
 
Bado haifanyi awe mchezaji wa maana, bado kai ni kiazi tu, sijawahi tengua hii kauli, hata afunge hat-trick
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tena ni Kiazi mbatata kabisa, hata mtoto mdogo ukimwambia kua hapa Kai ameshindwa sio kufunga bali hata kulenga goli tu hawezi kuamini kabisa.
1738576078518.jpg
 
Arsenoooooo, we are the gunnerssss.
Sasa mtoe kipo do hicho hicho kwa hawa man utd, tena hao piga ata 7
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mzabzab mzee wa mbususu mambo yangekua ni rahisi kihivyo Man Utd mngempiga hizo 7 kwenye FA walivyocheza pungufu kwa zaidi ya dakika 60 baada ya Dolot kulimwa kadi nyekundu.
Matokeo yake Man Utd wakiwa pungufu waliwafurusha kwenye michuano kwa Aggregate ya goli 6-4 hapohapo kwenye dimba lenu la Emirates.
1738581187149.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mzabzab mzee wa mbususu mambo yangekua ni rahisi kihivyo Man Utd mngempiga hizo 7 kwenye FA walivyocheza pungufu kwa zaidi ya dakika 60 baada ya Dolot kulimwa kadi nyekundu.
Matokeo yake Man Utd wakiwa pungufu waliwafurusha kwenye michuano kwa Aggregate ya goli 6-4 hapohapo kwenye dimba lenu la Emirates. View attachment 3223526
Arsenooooo bwana. Ila man utd mie nashindwa elewa mbona siku ile mechi ya liverpool na hii ya arseno walipbana kweli kweli.
Mweee jana sasa, 🤣🤣🤣🤣 unatamani hadi kulia japo litimu nalichukia but dah...maguire kweli ndio anaonekana mchezaji kweli kweli🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom