Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

COYG! Liverpool ndioa anakuwa kirusi mwaka huu, tupo so unlucky.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Liverpool wala sio Kirusi na Arsenyo hauwezi kusema ni unlucky.
Arsenyo shida yenu kubwa ni hamuwezi kubana kalio.
Ligi ikianza hua mnakaza weee, subiri zibaki mechi 10 za mwisho kila mnaekutana nae akiwakonyeza kidogo tu mnamgaia utamu halafu mnakuja kujilalamisha kua hamna bahati.
Kuna kamstari kembamba sana kanako watenganisha Arsenyo na mademu wa Kirangi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Liverpool wala sio Kirusi na Arsenyo hauwezi kusema ni unlucky.
Arsenyo shida yenu kubwa ni hamuwezi kubana kalio.
Ligi ikianza hua mnakaza weee, subiri zibaki mechi 10 za mwisho kila mnaekutana nae akiwakonyeza kidogo tu mnagaia utamu halafu mnakuja kujilalamisha kua hamna bahati.

Hiyo kugawa utamu husianisha na timu yenu....toa jina la timu yetu hapo unatukosea....tunafungwa kwa bahati mbaya sio kama nyny sehemu yyte na siku yyte mnabondwa tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Liverpool wala sio Kirusi na Arsenyo hauwezi kusema ni unlucky.
Arsenyo shida yenu kubwa ni hamuwezi kubana kalio.
Ligi ikianza hua mnakaza weee, subiri zibaki mechi 10 za mwisho kila mnaekutana nae akiwakonyeza kidogo tu mnagaia utamu halafu mnakuja kujilalamisha kua hamna bahati.
Kuna kamstari kembamba sana kanako watenganisha Arsenyo na mademu wa Kirangi.
Pumbav🤣🤣
 
Sisi hatuna bahati, halafu zaidi tunaonewa pia. Kinachotusevu ni kwamba bolu tunalijua na tunalipiga haswa mpaka saa zingine hata tukose bahati vipi au tuonewe vipi, tunajikuta tumeshinda. Umesahau ile mechi yetu na nyie ya FA? Mwishowe mkatutoa ila ingekuwa ni Liverkuku siku ile ungekuta wamewapiga 6.
 
Unapoteza muda kumpa airtime mtu hajui mpira.

Arsenal imekua inapoteza mechi moja, tatu, mbili, nne. Suluhu ndiyo zinakua nyingi sasa mtu akiandika Arsenal inafungwa sana huna haja ya kumjibu.
 
Nambeni mnipe link ya thread ya Arsenal nina hamu nao sana, si unajua Jana usiku jana walifanya uchakavu wa hali ya juu pale Emirates stadium?

Ni hayo.
 
Kwanini Hakika Ruben anafeli na back 3 yake wakati City alisumbua nayo kwenye ligi? Arsenal ilikua compact na back 3 pia.

Ni kwa sababu ingawa formation ni back 3 ila City inacheza positional play na Arsenal ilikua ina mid nzuri kwa kipindi kile.

Positional play inasaidia kwamba mara nyingi mpira mnakua nao, na mpira unaweza kwenda sehemu ambayo mpinzani anakua hana access nayo kuilinda ingawa inaonekana. Hii ni kwakua kwenda kuilinda unajiexpose upande mwingine.

Positional play ina advantage kwenye kulinda pia kwakua mnakua mnafanya high pressing kwa pamoja.

Ila Hakika Ruben hana mid nzuri, hafanyi positional play na ana beki mbovu na kipa mbovu pia. Defense yake inakua exploited na paces za wingers na through balls za mid.

Kama Hakika Ruben akimaliza msimu huu na bado akakomaa na hii formation itampa ushindi msimu labda mmoja tu (next season) kisha msimu wa kesho kutwa anatimuliwa.
 
Ili hesabu zikae sawa inabidi leo kenge apigwe na Westham.

Next match nyumbu anacheza na spurs. Hii game spurs atashinda.

Nafasi ya 17 itafikiwa tu
Tuko sambamba na Manyumbu kuwasagia kunguni mpaka wamalize nafasi wanayostahili, yaani ile ya 17.
 
Back
Top Bottom