IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafurahi sana nikiona timu pinzani zikihangaika kisa Arsenal.Timu top scorer ana goli tisa halafu mnataka ubingwa acheni bangi aseee
Shida nn mkuu....asubuhi asubuhi tyri ushaanza mikwara...kunywa hata uji kwanza tumbo lipate joto ndo uanze mikwara sheheLeo mtaeleza kenge nyie mnamjua Isak
Kaka hii game imekupa shingapi mpaka sa hivi. Umekula kweli?Leo mtaeleza kenge nyie mnamjua Isak
Hao mijusi milia lazima watueleze leo ilikuwaje kuwaje wakatufunga zile mbili. Tutawapiga mpaka tuwahurumie.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Angekuwepo Masingeli humu angekuja na zile habari zake za Supa Kompyuta inasema leo Tunampiga Nyukesto goli 4-0 halafu msimu huu Supa Kompyuta inaonesha tunabeba Yuefa.
Ngeli ni konyo sana yule mtu, toka amekimbia humu jukwaa limepoaa kama mchuzi wa nyoka uliokosa chumvi[emoji16][emoji16][emoji16]
Tukitoka Dubai sheikhBeb White anarudi lini uwanjani?
Game yenyewe ya Carabao...Leo mang'ombe yote yapo macho kusubiri Arsenal ateleze
Lazima tushinde na kuendeleaLeo mang'ombe yote yapo macho kusubiri Arsenal ateleze
Gary Neville na Carragher wanaongoza hilo boti la wajinga.Kipigo kapewa City ila milio inatoka kuanzia unyumbuni hadi kwa ndugu zao ukengeni
Badala watu wafanye analysis ya Arteta's Tactical Masterclass against Pep, wao wanajadili kuhusu ushangiliaji wa wachezaji
View attachment 3226332
Gary Neville na Carragher wanaongoza hilo boti la wajinga.
Alisema ni utani mzuri Haaland kumpiga na mpira Gabriel baada ya kuscore.
Ila akasema ni ukosefu wa heshima Gabriel kushangilia mbele ya Haaland baada ya kuscore.
Wajinga ni wengi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Gundu Fc a.k.a Maids FcGame yenyewe ya Carabao...
Ila acha itokee tutolewe uone jinsi Flano na Labyrinth 84 watakavyo tuandama humu bila kupumzika.
😄😄😄😄 daah.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Maids Fc View attachment 3226352
Hakuna ninayemfuatilia hapo, ujinga wao hua upo tu kwenye pages za mpiraNeville simfuatilii kabisa. Sina muda wa kupoteza kusikiliza chochote asemacho. Carragher namcheki akiwa na Titi, Big Meeks na Kate Scott. Hiyo ndiyo punditry team yangu pendwa. Ila popote pale pengine, simsikilizi Carragher.